maisha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Hatukuwaacha shuleni tu, ni mpaka makazini hadi kwenye taasisi watu hawa hufanya maisha ya sehemu husika kuchangamka

    Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
  2. Mag3

    JamiiForums Tanzania Rais wa taifa kubwa akipewa makavu hadharani kwenye TV, lakini maisha yaendelea...

    Trump, Rais mjinga na mdhaifu zaidi katika historia ya Marekani... https://www.youtube.com/watch?v=BwvBFljn_vk Nakulilia Tanzania!
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  6. E

    JamiiForums Tanzania The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  8. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Makosa katika Maisha Yetu

    Binadamu wote sio wakamilifu, mara kwa mara tumefanya matendo na tumesema maneno ambayo kwa namna moja yameweza kuleta madhara katika maisha yetu na wenzetu. Watu wengi wanasema Makosa katika Maisha hayaepukiki, ndio maana kila mtu ameshawah kufanya makosa. Tuachane na hayo. Maana Yaliopita sio...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  10. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana mitaani wana akili kubwa, vipaji vya ajabu, na ndoto zenye mwanga , lakini dunia imewakataa kabla hata hawajajiamini

    Ndoto Kubwa, Maisha Magumu Kuna vijana mitaani wana akili kubwa, vipaji vya ajabu, na ndoto zenye mwanga , lakini dunia imewakataa kabla hata hawajajiamini. Wanakulia kwenye kelele za matusi, mazingira ya vurugu, na maisha yasiyo na uhakika. Wengine wameacha shule kwa sababu hakuna karo...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwamba vitabu vya Mungu vinazungumzia maisha haya....

    Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa. Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri...
  13. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Aina za Watu Wanaoweza Kukuchosha Ukiwa nao kwa Muda Mrefu: Mafunzo ya Maisha Katika Mazingira ya Kitanzania

    Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini pia wapo wanaotuchosha kwa maneno yao, tabia zao, au hata hulka zao ambazo, kwa dakika chache tu...
  14. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Mambo! hope you good Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  16. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

    Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji. moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  20. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
Back
Top Bottom