Mimi ni mwanaume. Sio shujaa kila siku, sio jasiri kila saa. Nina mapenzi, nina udhaifu, nina hamu ya kueleweka—lakini mara nyingi husema “poa” tu ili mambo yaendelee. Kuna vitu navikalia moyoni kila siku. Leo naandika kwa mara ya kwanza, sio kwa hasira, bali kwa tumaini kwamba kuna mwanamke...