maisha

  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Gambo na Makonda:Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.

    Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua faida za kiswahili hasa katika mambo ya maisha ya sasa

    Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za Maisha

    1. Dunia Haina mfalme wa milele, Kila Kitu au jambo ni kwa muda tu. 2.Usiishi kwa mashindano ishi Maisha Yako 3. Mali au kitu unachomiliki Kuna watu walikua nacho, kabla yako. 4. Unapokua na Furaha sana/ Hasira sana unatakiwa kua makini maana unaweza fanya maamuzi yatakayo gharimu Maisha...
  5. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

    Pesa haiwezi kununua uhai 👇
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachekesha sana

    maulid kitenge, what’s life? 🤔
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Uzoefu katika maisha

    Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa. Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli. Kamwe usiende kwa tajiri. BELIEVE ME
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ni andiko gani fupi ungependa kushare hatimae liweze kugusa maisha ya mwana JF yoyote

    Utasifika kwa UCHAPAKAZI, Utaheshimika kwa MAFANIKIO, Utasujudiwa kwa UTAJIRI, Utaenziwa kwa UTU.
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  10. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  11. AskariKanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimuache Dogo na Shemeji yake Nyumbani, Unatengeneza bomu la Nyuklia!

    Bro makinika awa madogo janja mnaowaleta town kusikilizia michongo itiki muwe nao macho, mnapo waacha nyumbani na shemeji zao unatengeneza bomu la nuclear. Husimruhusu mdogo wake akae tu nyumbani na shemeji yake unakuta vyumba vyenyewe unavyo viwili tu unamuita dogo wanini? Muite dogo baada...
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

    Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maisha haya...

    Unakamata akina Soka na akina Mdude, unawatesa na wengine unawaua... hawana bunduki wala nini, bando la kukusimangia wanagongea... halafu unakuja kugundua kumbe kimeo ni Polepole, ambaye unamlipa mshahara na malupulupu! Lazima uishiwe nguvu... Haya ndio matumizi mabaya ya dhambi!
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania X na Y ulizani zipo kwenye elimu tu hata maisha zinatumika sema ufahamu tu

    Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y. kama unabisha muulize dalali wa nyumba
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Asanteni sanA.
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha ya Nigeria yakoje?

    Kuna mtu wangu wa karibu anaenda safari Nigeria. Ningependa kujua maisha ya huko yakoje kuanzia usalama,social life,vyakula na mambo mengine ya msingi.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
  19. Dream big

    JamiiForums Tanzania Raha ya uzee ni ndoto za matukio mabaya na mazuri ya ujanani

    Fikiria hii picha... Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa. Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok...
Back
Top Bottom