maisha

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni huyu polepole ana maisha mazuri tayari. Asituharibie watu wa chiini. Hata familia yake inaishi bahari beach kwa wakubwa

    Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote. Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu. Mfano...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

    Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni. Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Je ni njia gani sahihi ya kuwekeza kwa ajili ya maisha ya badae hasa ya uzeeni

    Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee, wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita. Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika Je, ni njia gani sahihi ya...
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
  9. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Maisha Na Imani

  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Gen 'Z' (Vijana wa 90s na 2000s) nawakumbusha maisha hayasimami "Fainali Uzeeni"

    🧵 1/ Ndugu zangu, vijana tuliozaliwa kati ya miaka ya 90s hadi 2000s, kuna jambo muhimu la kukumbushana: Maisha hayasimami, fainali uzeeni. Ujana ni kipindi cha misuli, ndoto na kelele—lakini kuna kesho ambayo lazima uiandae leo. 🧵 2/ Tulikulia kwenye vichochoro vya michezo ya kombolela aka...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kijana ukitegemea tu akili za darasani utafeli maisha vibaya

    Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri...
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  14. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Bashiru: Tutatumia sana dola kubaki Madarakani ilimradi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na kwa Maendeleo ya wananchi

    Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli. Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida nyingi sana za kukifanya kubakia madarakani. Kwa maana hii basi ccm itatawala milele labda aje kiongozi...
  15. Quavohucho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukisoma threads hizi mbili! Utajua maisha yamechange Sana!!

    Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi? Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc 2; Thread ya pili ilikua 2022...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
  17. Marry Diana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

    Habari za jioni Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu. Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii. Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama...
  18. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

    Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota. Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi IST ALLEX RUNX PREMIO PASSO Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ni somo gani umejifunza katika maisha

    Hell Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
  20. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Be real ,usi-fake maisha

    Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao. Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike. Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko...
Back
Top Bottom