maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

    Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  5. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa au maisha ya kawaida watu wa hivi ni wa kuogopa kama Ukoma

    Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia lile kundi alilotoka ni wa kuogopa kama ukoma. Mtu kama huyu anaweza kuwa anacheka na wewe kama mamba...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tanga,kibaha, mbeya, morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha?

    Kati ya Tanga, mbeya,kibaha , morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha? Haswa mzunguko wa Hela Upatikanaji wa misosi Utulivu Huduma za jamii Kwa anae jitafuta
  7. Nusratt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Waifu Material pokea hii mantiki kama majibu ya swali lako la "kama mwanamke haumpendi kwa nini unaingia kwenye maisha yake?"

    Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  12. Utak

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu – Lakini Tabia ni Zaidi Unaweza kupata pesa leo na kupoteza kesho. Lakini ukiwa na nidhamu, heshima...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

    Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless. Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have...
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Penati ya mwisho kwenye maisha

    Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi...
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika

    Ukiona mtu,anakuheshimu ,ana kupigia simu alafu huna pesa, huna kazi , huna chochote, huyo ni zaidi ya binadamu .muombee sana kwa Mungu 😥
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu haufanikiwi katika Maisha yako ni udumavu wa Kiroho

    MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja hichohicho. makochi yaleyale. Yaani hukui wala huongezeki. Kila unachogusa unakwama. Miaka unaenda...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mlee Mtoto Wako Aweze Kuishi Maisha na Siyo Kuyafahamu Tu, Maana Akiyafahamu Kabla Hayajayaishi Atashindwa Kuyafurahia

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Gambo na Makonda:Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.

    Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua faida za kiswahili hasa katika mambo ya maisha ya sasa

    Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
Back
Top Bottom