maisha

  1. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii. Watu hatupo serious na maisha yetu

    Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa. Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
  2. JamiiForums Tanzania Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha, wabunge mmetufikisha hapa!

    Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi. Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
  4. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  6. JamiiForums Tanzania Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha. Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv. Wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukikielewa kifo umeyaelewa maisha

    EKIKIELEWA KIFO, UMEYAELEWA MAISHA #verytrue Baada ya kuzaliwa tunaishi, baada ya kuishi tunakufa. Hivyo kuzaliwa, kuishi na kufa vinakwenda pamoja, kamwe havitengani. Tulio wengi tunakumbuka kuzaliwa na kuishi lakini tunasahau kama kuna kifo. Mwanadamu wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi...
  10. JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha na uchumi

    Uchumi na maisha Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Darasa la Maisha

    DARASA LA MAISHA Nikiwa kijana mdogo, kila wakati niliambiwa niote ndoto kubwa. Hata hivyo, haikuwa hadi nilipoanza kwenda chuo ndipo nilipogundua kuwa ulimwengu halisi ni mgumu zaidi kuliko kile nilichokuwa nimekifikiria. Somo la kwanza nililojifunza ni kwamba si kila mtu atakupenda. Watu...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa na amani ndani ya moyo wako na maisha yako, basi fanya haya

    Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
  17. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi huduma za maktaba zinavyoweza kuinua hali ya maisha ya wa Tanzania

    Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo elimisha na kuburudisha maktaba huwa na rasilimali za kiada na ziada. Kuna aina tofauti za maktaba...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyaomba kwenye maisha yako pindi Tu utakapoanza kujitambua!

    MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO. Anaandika, Robert Heriel. Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha na Uchumi

    Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni juhudi za moja kwa moja ...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao? Hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…