maisha

  1. Ndugu zetu acheni uchoyo jamani haya Maisha tu

    Nyie mlikataa kutualika Pasaka yenu sasa kwanini mnatia Huruma hivi.
  2. Makundi yote 24 yatoa masharti yao ya kuacha vita DRC, na wenyewe wamechoshwa na mugomvi, wanataka kurudia maisha ya kawaida

    Wapo tayari kurudi mashambani na kwenye familia zao, kimsingi wahakikishiwe usalama wao. ================= The latest peace bid for the Democratic Republic of Congo’s troubled eastern region appeared headed for a solid footing after 24 armed groups gathered in Nairobi to express their...
  3. Mambo niliyojifunza vita vya Urusi katika maisha ya kawaida

    1: Kabla sijaanzisha vita na mtu lazima nijue nani yuko nyuma yake. 2: Ukiwa huna nguvu sana jitahidi kushambulia mahala ambapo pataleta matokeo makubwa kwako na maumivu makubwa kwa adui kwa kutumia rasilimali chache. Ukraine wanapukutisha majenerali wa Kirusi. 3: Ukiamua kuingia vitani...
  4. Maisha unayoishi yanaweza kunyoosha au kuharibu maisha yako ya baadae.

    James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita. Jamila alijifungua mtoto wa kike mzuri na kumpa jina Aisha. James alitoka shuleni anamkuta Jamila na mtoto, alipenda...
  5. Mambo Ya Kuzingatia Unapokuwa Kazini Ili Usije Ukaishi Maisha Ya Majuto

    Wengi tunapokuwa kazini yapo maisha ambayo yanasababisha majuto kwa baadae. Hali hiyo inawatokea wengi sana hasa vijana wanaopata kazi mapema, mwisho wake wanaishia katika majuto. Unachopaswa kujua au kuelewa, upo msingi wa maisha unatakiwa kuishi nao unapokuwa kazini ili baadae usije ukaishi...
  6. Maisha halisi nchini Marekani

    Habari JF leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani. Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani...
  7. Jinsi gani mapenzi yaliweza kukurudisha nyuma kimaendeleo au kuvuruga maisha yako?

    Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia. Kuna jamaa namfahamu alifanyiziwa ushirikina na demu wake baada ya kuachana jogoo akawa hawiki kbs, na akapata nuksi...
  8. D

    Kwanini tabia za maisha ya kawaida ya viongozi wa Kitanzania wakiachia madaraka hubadilika?

    Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu! Mfano; Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
  9. Mjumbe Hauawi Sikiliza Chukua Hatua Okoa Maisha

    Ndugu Wanajamvi, clip iko inajieleza
  10. Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

    Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili - waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja na mauaji, wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 katika Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Sengerema...
  11. Maisha ndani ya Latvia 2019-2022

    Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka...
  12. Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  13. Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
  14. Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  15. Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  16. Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  17. Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  18. I

    Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  19. Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Gh
  20. Ni Uovu gani mkubwa zaidi kwenye Maisha ya Mwanadamu?

    Matendo ya mwanadamu yamegawanyika katika makundi mawili nayo ni matendo ya Nuru (Good Deeds) na matendo ya Giza yani (Evil Deeds). Evil Deeds - Actions that are intended to harm others and vice versa is true (Good Deeds). Let's start, 👉By differentiate between Sin, Evil and mistake. Tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…