maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja Askofu anakuulizwa swali unamjibu, Nikapata na sakrament ya kitubio na kipaimara yaani naruhusiwa...
  2. Vien

    Jinsi ukurupukaji ulivyonitia hasara mara nyingi maishani

    Habari JF members Nimeona leo nielezee tabia ya kukurupuka ilivyonipa hasara mara kadhaa. Nimejifanyia tathmini nkagundua huwa nikitaka kufanya jambo lolote huwa napenda nilifanikishe kwa haraka sana ili niruhusu akili iweze ku focus na vitu vingine. Lakini tabia hii imenigharimu sana...
  3. falcon Q

    Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  4. Heparin

    PostGE2025 Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye silaha za moto ambao pia wamevamia kwangu bila kibali

    Anaandika Fortunatus Buyobe kwenye Mtandao wa X ==== Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka. Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu. (Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua...
  5. Genius Man

    Watanzania wenzangu, msiponiona tena online mjue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania. Tukutane tarehe 29. Hakuna kurudi nyuma

    Watanzania wenzangu msipo niona tena online ujue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania tukane tarehe 29 hakuna kurudi nyuma.
  6. Doto12

    Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  7. Mfalme_wa_Nyika

    Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato. Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali. Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha...
  8. K

    Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  9. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  10. U

    Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  11. Zero Competition

    Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  12. RoadLofa

    Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

    Mambo vipi ndugu zangu? Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya maisha yangu nilivyoanza kunywa pombe Kunywa pombe nilianza 2016 nikiwa chuo kikuu na nilianza tu kwa...
  13. FORTUNE JR

    Laiti kama ningepewa uwezo wa kurudia kuishi tena maisha yangu ya nyuma, nisingependa kukutana kimwili na yoyote

    Angalizo Mhimu⚠️. Uzi huu si kwa kila mtu. Ni kwa vijana waliokomaa kiakili, walio tayari kupambana na nafsi zao, kushinda tamaa, na kutaka kuzijenga upya roho zao. Kama hujafikia hatua ya kutafakari maisha yako kiundani basi Tokaaaa!🥹. Lakini kama unajua kuna kitu ndani yako...
  14. G

    Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  15. Bueno

    Nimeapa kiapo cha KIFO sitokuja nimuogope Mwanamke katika Maisha Yangu

    Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao. Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
  16. Beberu Mwitu

    Maisha yangu binafsi na msoto niliopitia tangu mwaka 1996

    Mimi ni mzee wa miaka 35, mzaliwa wa mkoani Iringa huko nyanda za juu kusini. Historia yangu ya maisha katika nchi hii imekuwa ni yenye kupanda na kushuka mithili ya roller-coaster. Imejaa mambo mengi ya kufurahisha na machache sana ya kuhuzunisha lakini yenye kunijenga zaidi. Shule ya msingi...
  17. B

    Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  18. Se Busca

    Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Mambo! hope you good Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na...
  19. dorge

    Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
Back
Top Bottom