Ndugu zangu.
Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake.
Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
Naangalia clips mbalimbali online zinaonyesha baadhi ya matukio ya kuhatarisha maisha ya wanaokwenda mbugani.
1: Nimeona Tembo kavamia hoteli ya watalii. Anabomoa bati huku wapishi wanamponda mawe. Pembeni Kuna hema za kulala za watalii ambazo akiamua kuzisaga zote hakuna anayetoboa.
2...
MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja hichohicho. makochi yaleyale. Yaani hukui wala huongezeki.
Kila unachogusa unakwama. Miaka unaenda...
YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡
Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume,
Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike.
Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote.
Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka.
01.Ulevi wowote...
Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine.
Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote. Au kujutia ulichokifanya.
Binadamu anabadilika mda wowote. Na Kuna watu ni Wajanja na waulanghai wa...
Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia:
Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka)
Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano.
Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
allen_strong anasema
As a man, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all.
There's no third option.
Japo yeye ameongelea kwa wanaume ila mimi naongezea hata kwa wanawake pia.
Ni bora uwe single kuliko kuwa na mwenza hasiye na mchango wowote positive kwenye...
Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa.
Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
Hallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na...
Salaam, Shalom!
Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.
Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
Habari wana jamvi!
Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.
Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.
Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..
- Nimegundua bado nahitaji...
Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji.
moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako:
---
1. Badilisha Mtazamo wako
Amini kuwa una bahati –...
Chuma ulete ni aina ya uchawi ambao hutumiwa na Wanga au Wachawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine. Uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na shughuli za kibiashara kwani hapo ndipo pesa inapopatikana kirahisi. Uchawi huu wa chuma ulete...
Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali).
Safari yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.