maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Salaam to everyone, Its my hopes that wote mna weekend njema. Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na uwezo wa kuisafisha Tanzania kwa serikali hii batili fungu lipo watakulipa mpaka uchoke

    Jinsi walivyo chafukwa kila kona kila pembe. Wapo kwa lolote kumlipa hata katibu wa UN au watu wakubwa waoneshe dunia kuwa kulikuwa hakuna mauwaji wa utekaji na uhuru hupo tele. Kwa sasa watu wanapiga pesa watakavyo wale wa kutrend,wasanii,vyombo vya habari,viongozi na n.k Yani mpaka ma IT...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani. Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  5. ITR

    JamiiForums Tanzania Ndoto unazoota huenda ni onyo na tahadhari juu ya kinachokuja kukutokea kwenye maisha yako yajayo usizipuuze

    Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani. Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa mfano mm nilikuwaga siamini kabisa kuhusu utabiri wa ndoto lakini kilicho nitokea mwaka juzi...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi katika maisha yako umewahi kuzika ndg yako asiye na kichwa ?

    Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida. Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji. Hatukwenda...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
  8. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania MORNITORING SPIRITS/ROHO ZA GIZA ZINAZOFUATILIA MAISHA YAKO

    Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa . DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama Fremu… Finishing unafanya mwenyewe

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame). Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...
  10. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtoto sio baraka, ni wajibu wa maisha yako yote

    Kabla ya kuwa na mtoto hakikisha una mikakati na mipango thabiti kifedha kuweza kumhudumia mtoto. Kumbuka mtoto toka anazaliwa unawajibika kwake maishani mwake. Hata ukitangulia kufa atakutumia kama mzimu wake umsaidie. Kumleta mtoto duniani na kushindwa kumhudumia ni kinyume na haki za...
  12. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Credit Card au Debit Card: Ni kadi ipi Inafanya Maisha yako Kuwa Rahisi Zaidi?

    Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu wengi sasa hutegemea kadi badala ya kutembea na pesa taslimu. Lakini swali linabaki: kati ya Credit...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wameoa/kuolewa kwa kufata mkumbo na imewagharimu sana

    Jipange vizuri kiuchumu, tafuta mwenza sahihi, usisikilize maneno ya watu au fulani kaoa ngoja na mimi nioe try at you own risk. Jipange kwanza usifate mkumbo
  16. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

    Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake. Je nifanye nini hili roho...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukiondokana na uraibu wa sukari na chumvi, maisha yako utaishi kwa furaha sana sana

    Nimeona watu wengi wanadili na pombe, ulevi kwenye uraibu. Nikujue tu, hakuna uraibu mbaya kama wa chumvi na sukari na kutokujua vyakula vipi natakiwa kula nisipate maradhi. Huu ni sumu inayomaliza wananchi kwa sasa, tukizika wengine watoto wadogo kabisa. Ukienda kwa wataalamu, haya mafigo...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

    Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
Back
Top Bottom