mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

    Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii. Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ... Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Habari wakuu. Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

    Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa. Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia...
  5. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

    Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751] Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a...
  6. JamiiForums Tanzania Namna simu za smartphone zinavyochangia kuvunja ndoa

    Habari za mchana wakuu, Kama kichwa ca habari chahusika hapo juu. Simu ni kifaa muhimu kwa ajiki ya mawasiliano baina ya watu mbalimbali. Mbali na mawasiliano simu imewaleta watu karibu na kuwa kitu kimoja aidha kwa kuanziamsha urafiki, mahusiano n.k. Kutokana na mapinduzi makubwa ya sayansi...
  7. JamiiForums Tanzania Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

    Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi? Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Hela/pesa/fedha zimeharibu sana mahusiano na dunia kwa ujumla

  9. JamiiForums Tanzania Ugumu wa malezi: Mabinti siku hizi wanaanza mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo

    Kipindi hiki malezi ya watoto yamekuwa magumu sana hasa wa kike walio katika foolish age, sababu ya contact kubwa ya watu tokea maeneo tofauti tofauti na utandawazi. Yaani ni changamoto sana, watoto wengi wa kike wanaanza sex mapema sana. Yaani mtoto kike wa o level kuwa na mwanaume zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kutomtamani Mwanamke kingono kwenye mahusiano kunamfanya apoteze kujiamini?

    Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa. Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano...
  11. JamiiForums Tanzania Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

    Habarini Wana MMU, Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart...
  12. JamiiForums Tanzania Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

    Habari gani ndugu wana Jf Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa? Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo . Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Fuata haya kulinda mahusiano na watu wenye pesa au hadhi zaidi yako

    1. Ukitaka kuzoeana na watu wenye pesa zao kamwe USIWAZOWEE 2. Usije kumpigia simu kumsalimia kila baada ya siku kadhaa ikawa ndo desturi yako, acha hiyo atakuwa hapokei simu zako. Kumbuka thamani ya salamu ni pale tunapowasalimia watu ambao wanaona umuhimu wetu na sio ambao tunaona umuhimu...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

    Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto. Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae. Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Nilivyoyanusuru mahusiano ya jamaa zangu

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Mara nyingi mahusiano ya wanamme iwe ni mabaya au mazuri, huwa ya kulindana hasa linapokuja suala la mapenzi au mahusiano. Kuna wakati jamaa zetu wanakosea kwa wapenzi wao, hadi inafika kipindi shemeji zetu wanatafuta sie best friends zao kuweza...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu 10 za Wewe kuwa Mpweke/Single na kukumbwa na misukosuko ya mahusiano

    Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie sawa aka Mr. Right. Lakini iwapo utakuwa ukiendelea kumtafuta mr Right zaidi na zaidi labda...
  20. JamiiForums Tanzania Dhana ya kipato kuimarisha mahusiano au ndoa

    Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…