mahusiano

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nikitoka na mtu mwingine, jogoo hasimami

    Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili. Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki. Sasa hivi nikitoka tu na mtu mwingine, jogoo hasimami mpaka yeye. Embu nipatieni ushauri nifanyeje?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Atakuwa ananipenda au ananitamani tu?

    Kuishi kwingi unapitia mengi bandugu... Nime experience aina ya mahusiano ambayo sijawahi ona. Mwaka 2015 nilikutana na mdada mmoja nikiwa likizo fupi home. Hatukutongozana wala kuwa pamoja kivile but ilitokea siku moja niko tiz akataka nayeye ashiriki nikamkaribisha baada ya hapo nikajilia...
  4. JamiiForums Tanzania Kutendwa kumeniondolea hamu ya kuingia kwenye mahusiano

    Mimi ni kijana wa miaka 26 nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka 2 nolimpenda sana ila yeye aliniektia. Tuliishi nikijua lengo la mahusiano yetu ni kuoana nilijitoa kwake kwa kiasi kikubwa sana lakini mwaka huu kwa masikitiko makubwa tukaachana maumivu niliyapata ofcourse mana...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Tuwatambue watoto wa nje ya ndoa kwani ni damu zetu na tujitahidi kuwa waminifu katika ndoa zetu na mahusiano yetu

    Nakusalimu kwa sauti kubwa ukapate kunisikia sikioni mwako,sina ukamilifu wa kutosha ila moyo unaniuma sana kuhusiana na ghazabu wanazozipata watoto wa nje ya ndoa Mtoto wa nje ndoa ni yupi? “Aliyezaliwa kabla ya baba na mama hawajaoana,alizaliwa bila ndoa na baadaye mzazi mmoja akaoa ama...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

    Habari zenu wakubwa shkamoni Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116] mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada #yesbishoohaswaaaa
  7. JamiiForums Tanzania Je, COVID-19 imeathiri vipi maisha yako ikiwemo mahusiano yako na unaowapenda?

    Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninayopitia mimi kwenye mahusiano au mimi pekee ndo nayo yapitia kwa kuachwa hivi

    Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy Mwanamke wa kwanza Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha mapya baada ya kuvunjika kwa mahusiano

    Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

    1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Natamani ningejua haya mapema ili kuepuka msongo katika mahusiano

    Utangulizi Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanao ingia kwenye mahusiano

    Watu wengi katika maisha wamekuwa wakilaumu upande mwingine iwe mke wake au mume wake kwamba ndiye sababu ya kuvunjika kwa uhusiano au ndoa yao. hakuna jambo muhimu maishani mwako kama huo uamuzi unaotaka kufanya, unaweza kukupa furaha ya maisha au uchungu wa maisha. Unaweza kujenga ndoa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid

    Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid 1. Insisting on a date. It is perfectly okay to arrange a date with a girl you just met, but don’t push her to give in to a date until she’s perfectly ready for it. If you suggest a date and the time or date that is not appropriate for her...
  16. JamiiForums Tanzania Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano yenye afya

    Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili kutakata Kila mmoja kuchangia kwa 100% katika huo uhusiano Kutokuwa na msongo wa mawazo Kufanya kazi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unategemea mahusiano ya kibeberu dhidi ya Tanzania

    Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini. Kuna mito huingia kwenye maziwa halafu kuna mito inatoka kwenye maziwa kwenda baharini. Kenya ni kama ziwa kwa uchumi wa tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

    Habari za Leo wana Jf wenzangu, Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa. Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…