Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Habari za jioni wanajamvi, moja kwa moja niingie kwenye nada, nimekuwa mhanga mkubwa wa wanawake hasa ninaowapata kwenye whatsapp groups, binafsi nina groups nyingi ambazo najitahidi ku socialize lkn nikafanikiwa kupata mademu kama wanne kwenye kila group ajabu kila mwanamke nilifamikiwa kuonana nae haendani na wanawake ninaowapenda,kinachoniudhi huwa wanatuma picha za uongo yaani zisizo zao.
Leo nilipanga miadi na mmoja Kati yao huwezi amini mwanaume nikajiandaa kweli kweli mpaka kupaka VUMBI la Kongo,shida ikaja alipoingia eneo la tukio[emoji24][emoji24] yaani haeleweki mwanaume nikajikakamua nikamnunulia bia tatu na kitimoto.Mimi nikagonga K vant ndogo ili kutoa aibu tukazama guest nikalipa 15000 imeniuma mnooooo [emoji24][emoji24]nikazama ndani nikashindwa hata kufanya romance [emoji24]nikazamisha dudu baada ya dk 23 nikafika mshindo eti yeye bado[emoji15][emoji15]
Nikaenda kunawa bafuni tena kwa sabuni ajabu yeye hakutoka kitandani akabaki na sperms huku akiniomba nirudie second round,nimejitahidi kufikiria mwanamke mwingine imeshindikana kusimama mpaka akasema tuondoke.Leo ndy nimeamini kumbe nguvu za kiume ziko kwa mwanamke mwenyewe iwapo anavutia.
Naapa sitatongoza tena mwanamke kwenye group [emoji9][emoji9]