Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?
Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa"...