mahusiano

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zamani mtu akiwa na mahusiano na CCM aliitwa Mamluki na Chama chake kiilitwa ‘CCM B’. Wapinzani walikataza mahusiano na CCM

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025. Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

    Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu. Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

    Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
  4. JamiiForums Tanzania Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu zinazochangia mahusiano ya mapenzi kupungua ladha

    Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Damu (blood groups) na Mahusiano

    Heshima zenu popote mlipo na poleni na kupanda kwa gharama za maisha........ Moja kwa moja kenye mada Kuna uhusiano kati ya Kundi la damu na Tabia ya mtu katika mahusiano/mapenzi. Kwa mujibu wa tafiti na machapisho mbali mbali zifuatazo ni baadhi ya sifa za watu kulingana na kundi la damu...
  7. JamiiForums Tanzania Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje katika hili?

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mgodi wa Almasi wa Williamson watangaza kuanzisha mahusiano mapya na vijiji 12

    Na. Mwandishi Wetu, Shinyanga. MIGOGORO ya mara kwa mara kati ya Kampuni ya Williamson Diamonds Ltd iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na wakazi wa vijiji 12 vinavyouzunguka mgodi huo hatimaye huenda ikafikia ukomo. Hali hiyo imebainishwa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaovaa nguo za wapenzi wao huwa ni lugha ya picha kwa 'shoo' wanayoipata ndani

    Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo. Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...
  12. JamiiForums Tanzania PRST kuendesha Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Maafisa Habari wa Mahusiano APA Tanzania 2022

    Washiriki zaidi ya 300 kutoka mataifa tofauti ikiwemo Bara la Afrika, Ulaya, Amerika wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa kitaaluma 'APA TANZANIA 2022', utakaofanyika kuanzia Mei 23 hadi 27, Dar es Salaam. Wakizungumza na Waandishi wa Habari, juu ya utambulisho na...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanawake wachepuke kwenye mahusiano

    Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ninani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia. Kuna...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Anniversary (au ukipenda, happy birthday) kwa mahusiano ya Kenya-Tanzania

    Siamini kwamba mwaka mmoja umepita, bila ya hasira, visasi, mivutano, malumbano, majibizano na 'makasiriko', kati ya nchi mbili hizi za Kenya na Tanzania. Sio baada ya yote tuliyoyashuhudia, kwa karibia miaka sita. Yaani tangia mwezi wa nne hivi mwaka uliopita mambo yaligeuka ghafla, yakawa...
  15. JamiiForums Tanzania Wageni vs Wenyeji kutokuelewana

    Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini. a/Wewe umetembelea mahali...
  16. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji/Ukatili katika Mahusiano: Fahamu aina za unyanyasaji, dalili na hatua za kuchukua

    Hii inaweza kuwa kwa vitendo vya kimwili, kingono, kihisia, kiuchumi au kisaikolojia. Hii ni pamoja na tabia zozote zinazotisha, kuumiza, kufedhehesha au hata kumjeruhi mtu Hali hii inaweza kutokea kwenye ngazi mbalimbali za mahusiano ikiwemo kwenye Ndoa, watu ambao wanaishi pamoja au walio...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya kuepuka gharama kwenye mahusiano

    Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana. Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu. Ukija kupiga mahesabu, kwa fedha ulizozitumia kwa mwezi mzima katika mahusiano, inazidi kipato chako. Na hii imepelekea...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye Mahusiano Upande Wenye Nguvu Ni Ule Uliowekeza Kidogo

    Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko mwenzie anavyomuhitaji yeye, na mara nyingi ndiye mwanzilishi wa hayo mahusiano. Kwenye uhusiano kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…