Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza.
Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.
sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=
Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
Ila kwa...
Habari zenu wakuu,
itifaki imezingatiwa
Ndugu zangu jua lilikuwepo tangu zamani na mpaka sasa hivi tunaona uwepo wake.
Mwezi ulikuwepo tokea zamani mpaka sasa tunauona mwanga wake.
Mvua ilikuwepo tokea zamani nayo inanyesha nyakati zetu.
Tokea zamani mvua,mwezi na jua vilifanya kazi yake...
Advice
Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa
What I need to say.
Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA.
Wakati wa...
Kwema Wakuu!
Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
Habari zenu!
Kama isemavyo hapo juu...
Enyi vijana na wazee ni nani aliyewaroga?
Ingefaa wanyama waendelee kuishi hapa Duniani na nyinyi kupuuzwa kabisa!.
Hata sasa hamjafikili bado?Mahusiano yenu na wake/ume zenu yako sawa?
Kwakuwa mnazo akili kuliko wanyama nitawafikirisha kidogo lakini...
Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi.
Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??
Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka?
Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa.
Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano.
Wengi wao wanatoa ahadi...
1. Mwanaume ukionesha unampenda sana mwanamke, mwanamke ataanza kuleta visa kisa anajua unampenda ila siku ukibadilika Mwanamke atasema Mme wangu sikuelewi mbona siku hizi umebadilika.
2. Huwezi kuona umuhimu wakitu kwa ukubwa mpaka kiondoke, ndo walivyo wanadamu wote sio mwanAmke au...
Wakuu habari zenu,
Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi.
To make story short...
Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema.
Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
Unaweza kuwa kwenye mahusiano lakini si vile unavyotaka. Unaweza ukawa unanyimwa unyumba. Au mwanamke anakuendesha. Au unasalitiwa mara kwa mara. Au mwanamke king’ang’anizi wa vitu. Au mwanamke anataka kukubadili misimamo yako kila muda.
Na hali hiyo ikawa inajirudia kwa kila mwanamke unayekua...
Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling.
Aliyewasukuma kuchumbiana na kulala na wanaume tofauti tofauti kabla ya ndoa aliwaharibu sana. Mmebeba mizigo mingi kutoka kwa...
Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani.
Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu.
Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele ..
katika safari yangu ya maisha sikuwah kupata muda wa kuwa karibu sana na wasichana kwa sababu fulani , lakini kwa sasa niko available kwa...
unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni.
imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina...
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.