INAUZWA Nauza Maharage mapya ya njano Mazuri yapo Dar es salaam kilo Shilingi 2500

Nahitaji kilo 50....nipo mbezi beach...naweza letewa....tafadhali

Achen utani kwenye biashara ya mtu !! Jamaa kaweka namba ya simu na keshajibu yupo ukonga na delivery kasema ipo lkn mtu anauliza hayo hayo aliyoyasema
 
Yanajambisha Mkuu?Tunataka kitu ukipiga Ushuzi unaenda hata Sekunde kadhaa to dakika,si unajuwa Wawekezaji kibao wanaingia kuinvest katika hewa ya kaboni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom