Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria.
Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na...
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa
Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya Jumatano, alifikishwa katika Mahakama ya Kahawa.
Kwa mujibu wa hati ya maombi iliyowasilishwa na Idara ya...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa...
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao.
Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
Hii kesi utaifurahia sana hata kama hujawahi kuhudhuria International Courts of Law! Kwa wale ambao Kiingereza ni msitu, kuna muhtasari wa kesi kwa Kiswahili katika Post #2
===========
IN THE SUPREME COURT OF E
Case No. Eternal-777-E
THE PEOPLE OF THE KINGDOM OF LIGHT
-Versus-
LUCIFER A.K.A...
https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf
Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa. Utapenda 😁🤣
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka.
Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM).
Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
Friends and our enemies
Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...
Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.
Viongozi...
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!
Na Mwandishi Wetu
Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa.
Kuendelea...
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Mwenye hits zozote kuhusu written ya interview kuhusu kada tajwa hapo juu tunaomba uje hapa ikiwezekana kama tutakuwa wengi tuanzshe ata group whatsapp nipo tayari, Asanteni..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.