mahakamani

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sioni shida pale mtu anakamatwa kwa tuhuma na kupelekwa mahakamani. Tusilalamike lalamike tu

    . Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Airtel nafungua kesi mahakamani

    Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi tumechati vingi sana sms ya mwisho nikamwambia tukutane Kwa mangi apo saa Moja jioni , Mtandao ukaaza...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kesi ya pili ya Uchochezi inayomkabili Tundu Lissu inaendelea mahakamani muda huu

    Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=6TwpERK4wFA Shauri Na. 8606/2025 la uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa YouTube linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Lissu imeahirishwa mpaka pale mahakama kuu itakapotoa majibu hivyo shauri limeahirishwa kwa muda...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Theopista Theonest aibuka mahakamani kesi ya Lissu

    Mbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam. Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ashangazwa na kitendo cha Jaji kutokufika mahakamani, akiita kitendo hiko ni muendelezo wa Jaji kutokutenda haki

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameonyesha masikitiko yake juu ya Jaji anayeendesha kesi yao kutofika Mahakamani na kesi hiyo imepelekwa mbele hadi Julai 10, 2025 Mnyika ameeleza kuwa tayari wameshaandika barua ya kuonyesha kutokuwa na imani na Jaji huyo na kutaka aondolewe na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mpina anasema kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wakaenda mahakamani wakashinda mpaka leo hawajalipwa licha ya kushinda kesi

    Mimi binafsi sijaamini aliyoyasema Mhe. Mpina kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wao wakaenda Mahakamani wakashinda kesi lakini licha kushinda kesi mpaka leo hawalipwa ng'ombe wao au fedha iliyothamanishwa na ng'ombe hao. Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala bora na...
  10. Samadebe

    JamiiForums Tanzania Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

    Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini. "Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa. Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Lissu aletwe Mahakamani Juni 27, 2025 katika kesi ya marejeo aliyoifungua

    Kesi ya Marejeo iliyopo Mahakama Kuu Dar esn Salaam iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri Na. 14496 ya 2025 ambayo ilipangwa kutajwa leo Juni 17, 2025 imeahirishwa hadi Juni 27, 2025. Shauri hilo lilipangwa kusikilizwa kwa njia ya Mtandao mbele ya Jaji...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

    Ndugu zangu Watanzania, Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  15. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Gwajima sahau ubunge

    Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kwamba suala la kufungiwa Glory Church linapelekwa mahakamani

    Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu. Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa. Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa

    Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa. Huwezi kuwa na akili timamu kwa kupiga mtu au kumzuia asiingie mahakamani bila sababu za msingi tukasema wewe afande unaakili, hatuwezi kukupongeza...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hivi alichofanya Ole Sendeka si kuingilia kesi iliyoko mahakamani?

    Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake. Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko...
Back
Top Bottom