Mwananchi alikitolewa katika mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025, baada ya kudaiwa kuzungumza kwa sauti kubwa ndani ya mahakama wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ikiendelea
Jioni hii wakati nazurura zurura mtandaoni basi nimekutana na kesi mbili zilizohusiana na kampuni ambayo kwa sasa imepata umaarufu sana mjini: ITEL.
Soma attachments. Kwa wale wenzangu na mie wa you know you know basi nimekuekea summary hapa chini kutoka kwa LLM, ChatGPT.
-————————————————————...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Oktoba 16, 2025
Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-;
Part 106
Muda huu ni saa tatu asubuhi.
Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam.
Hali ya Mahakama ni nzuri.
Tunawashuhudia Waandishi wakichukua picha mgando na mnato...
Mchakato usikilizwaji wa kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi akihoji uhalali wa kanuni za maadili zilizotumika kumuadhibu kifungo cha maisha kutojishughulisha na soka, sasa umeanza rasmi upya.
Tayari Mahakama ya Hakimu...
Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025.
Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe. John Mnyika
3. Hilda Newton
4. Twaha Mwaipaya
5. Board ya Wadhamini ya Chadema.
Maombi hayo...
amri
chadema
chama
heche
john heche
john mnyika
kufanya
kufanya siasa
mahakamani
mnyika
saba
said issa mohammed
siasa
uchaguzi mkuu 2025
vigogo
viongozi chadema
Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.
Mshitakiwa...
Sote tunafahamu juu ya utendaji mbaya kabisa wa jeshi la polisi linapokuja suala la haki. Polisi walio wengi hakuna chochote wanachoelewa, zaidi ya kuoiga watu.
Kuna matukio mengi kwenye mahakama ambapo polisi wamefanya vitendo vya hovyo vya kydhambulia watu, na kuvifanya vounga vya mahakama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua!
Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana!
Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye...
Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo.
Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni.
Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025.
Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025
Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo.
Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.