Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025.
Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025
Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo.
Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
Huyu jamaa ni kama mzuka
Mkiamka mnakuta picha imechorwa inatafsiri mwenendo wa nchi
Jana usiku allikuwa mahakamani kama kazi, walinzi wanaamka wanakuta mchoro...
Naona huu ujumbe leo unatuhusu, japo picha imechorwa London, UK
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imetajwa leo, Jumatatu Septemba 08.2025 kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Ndunguru
Kabla ya...
Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa.
Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine.
Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia.
Sekta binafsi...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.
Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI...
Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI inayopatikana kupitia sheria tulizojiwekea kama jamii. Ni hatari sana kupuuza kanuni hii muhimu...
Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama.
Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza?
Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla?
Au tuseme...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025.
Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
Nakumbuka ile siku ya Eid SSH alipoenda msikitini aliingia MTU msikitini na akaa nyuma ya SSH je huyu alikuwa ni nani ?.
Na je anaweza akawa Mwanamke huyu ?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.