Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana...
Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...
Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza.
Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam
Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia...
Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi.
Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono pale jumba jeupe ila unagoma.
Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.
Umegoma kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.
Kazi yetu inakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa.
Lissu legeza kamba umetushika pabaya
Upo gerezani...
Suala la lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu.
Sheria za nchi hazipaswi kuchezewa na kupuuzwa na wapumbavu lazima watawajibika kwa matendo yao hakuna atakaye kwepa nguvu ya sheria.
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP).
Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa haki kutokana na kesi zao kukaa muda mrefu Mahakamani.
Sigrada ameeleza hayo jana, Desemba 11...
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili.
Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?
Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki ambapo washtakiwa hawakufikishwa...
Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka
Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi?
Je sheria inaruhusu mtu kufuatwa nyumbani na kupigwa risasi?
Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu.
Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vurugu za uchaguzi
wengine
Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha.
Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa...
Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima?
Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi
Vijana walikuwa hawana nguo wala viatu
Sasa kama mtu anafikia mahakamani akiwa uchi, huyu mtuhumiwa anaishije huko mahabusu...
Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake watano kufika mahakamani kufuatia ombi la mawakili wa CHADEMA wanaotaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, afikishwe mahakamani au aachiwe kwa dhamana.
Wengine ni Afisa Upelelezi Kanda Maalum...
Tukio lisilo la kawaida, limetokea leo katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo mwanaume mmoja alionekana akitolewa mzobemzobe na askari wa Jeshi la Magereza, kwa madai ya kupiga kelele ndani ya mahakama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.