mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

    Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp. Inadaiwa alitenda kosa hilo kati ya Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 . ------ Aliyekuwa mtia...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA Singida kufikishwa Mahakamani leo

    Hawa vijana wanateseka kwa sababu za kishamba sana zilizoambatana na njama ya Jeshi la polisi kwa lengo la kuokoa ccm Singida , leo kuna rufaa ya kutaka waachiwe kwa dhamana Mashitaka yao ni vituko vitupu ! kuna haja ya CHADEMA kuweka uchunguzi maalum kwa jeshi la polisi Singida ili kufahamu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Mtikila kufungua kesi ya Mgombea Binafsi, Tundu Lissu kufungua kesi kuhoji ni kwanini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani!

    Tayari mpango mzuri na wenye maana kubwa sana katika Taifa letu unaendelea kuandaliwa. Uchaguzi wa Mwaka 2020 utakapokamilika tu na iwapo CCM watakuwa wameshinda kuna kesi itafunguliwa kwa umakini wa hali ya juu kuhusu kwa nini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani. Kinachozuiwa nchini mwetu...
  4. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa kituo cha mafuta kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashtaka mnamo tarehe 22/06/2020 itamfikisha katika mahakama ya wilaya ya Simanjiro mmiliki wa kituo cha mafuta Simon Lemeya kilichopo Wilaya ya Simanjiro Simon Lemeya Tukai. Lemeya...
  5. JamiiForums Tanzania Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: CUF walalamika kuporwa ofisi na ACT Wazalendo. ACT yawajibu waende kudai Mahakamani na sio kwenye press

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kuwa kama chama cha CUF wanadai kuwa ofisi zao zilizopo visiwani Zanzibar, zimechukuliwa na chama hicho, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari, na kutaja tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa watia nia. Hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu AMCOS afikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu jana imemfikisha mahakamani katibu wa Chama cha msingi cha Ushirika cha Mwanga kituo cha Nangale Wilayani humo Masanja Mbula kwa kesi ya uhujumu uchumi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi hiyo jana...
  8. JamiiForums Tanzania Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imewafikisha mahakamani watuhumiwa nane kwa makosa 480 ya udanganyifu na kujipatia zaidi shilingi milioni 500 kutoka Chuo Kikuu cha Katoliki (RUCU) kilichopo mjini Iringa Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Iringa,- Mweli Kilimali amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja 10 za Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu kuhusu Rais kutoshtakiwa mahakamani

    Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumekuwa mstari wa mbele kuiwajibisha Serikali Mahakamani. Rais alipomwondosha CAG Prof. Assad kinyume na Katiba, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe alimpeleka Mahakamani. Pia, Rais alipomteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiye na vigezo vya kikatiba, nilimpeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

    Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!! Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
  13. JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za utekaji na kuendesha genge la uhalifu

    Serikali imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia (41) na mwenzake wakituhumiwa kwa mashtaka manne, ikiwemo utekaji nyara. Angellah na Mohamed Rushaka (36), wamefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid...
  15. JamiiForums Tanzania Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

    Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
  16. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo, Mpeleke Mahakamani basi unayemshikilia

    Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ataka matokeo ya Urais yahojiwe Mahakamani

    Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge...
  18. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

    Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja. Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  20. JamiiForums Tanzania Danadana: Kesi ya Kabendera yaahirishwa kwa madai kwamba Hakimu kapata udhuru

    Kesi hii ya Uhujumu uchumi ambayo ilibadilishwa kutoka kwenye tuhuma za uraia leo imeshindwa kuendelea kwa vile Mh Hakimu ameamua kutokufika Mahakamani . Imepangwa kuendelea tarehe 24 February. ====== Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…