Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili kuinunua Twitter.
Mawakili wa Musk walimpigia simu bosi wa zamani wa Twitter Jack Dorsey ambaye anatajwa...
Sikiliza:
Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya, Raila Odinga, apeleka malalamoko mahakama ya kupinga matokeo ya usaisi wa August 9 ulio mpa ushindi...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani.
Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9
Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani.
=======
Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022.
Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi
Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na...
Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri,
HABARI WADAU;
kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi,
Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
Utahitaji kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ili kuishitaki TCRA mahakamani kwa mujibu wa kifungu namba 68, kifungu kidogo namba mbili, cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010.
Sheria hii ni moja kati ya sheria zinazolalamikiwa sana kwa kuminya uhuru...
Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa kuwa na thamani ya Mabilioni ya Shilingi
Katika shauri hilo Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha...
Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya.
Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI
Anaandika, Robert Heriel.
Haki lazima ikatendeke!
Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
Kuna waimbaji wanaimba 'mwenye pea' si mwenzako ni kweli mwenye pesa si mwenzako,wengine wanasema mwenye nguvu mpishe, huwezi shindana naye.
Nimeonelea nianze kuhathisia kisa hiki kwa kuanza hivyo pengine huko mbele mtanielewa namaanisha nini?
Mwezi novemba 2019 eneo la Majengo mjini Moshi...
Habari Wana wa JF...
Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo ya kisheria yaache tu Sheria uchukue mkondo wake. Ipo hivi baada ya kutengana na X wangu nikapata...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI
=============
Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili.
Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, ama inaweza kutupwa katika namna ambayo...
Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi).
NB:-
Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!!
FLACK BACK
Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.