mahakamani

  1. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupeleka Mahakamani zuio la makubaliano ya Bandari kati ya DP World na Serikali?

    Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
  2. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Samia hawezi kuaminika tena, amejipa doa sugu

    Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa! Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho. La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kufikishwa Mahakamani kwa mara ya pili

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali. Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa Mahakamani kujibu mashtaka 11 likiwemo utakatishaji Tsh. Milioni 658

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 likiwemo la utakatishaji wa fedha zaidi ya Sh658 milioni. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Grace Mwanga amewataja washtakiwa hao ni mfanyabiashara Ridhiwani Shaban na Moses Nassoro. Akisoma hati ya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumng'oa mkewe jino kwa plaizi na kumtoboa jicho afikishwa Mahakamani

    Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini jijini Arusha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha akikabiliwa na kosa moja la shambulio la kudhuru mwili. Mshitakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Mei 31, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Jenipher Edward. Katika...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi. Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara afikishwa Mahakamani kwa kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA

    Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara. Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ajikata uume wake na kuutupa. Akipona jeraha lake atafikishwa Mahakamani kujibu shtaka linalomkabili

    Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua. Kamanda wa polisi mkoa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

    Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  13. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

    Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
  17. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanasheria asema Trump hatafika Mahakamani akiwa amefungwa pingu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023. Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  20. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
Back
Top Bottom