mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mawakili waingilia kati kutaka Mwimbaji aliyekamatwa kwa Uchochezi afikishwe Mahakamani

    Taarifa yao hii hapa .
  3. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanasheria wa Halmashauri afikishwa Mahakamani kwa Kuomba Rushwa ya Tsh. Milioni 1

    Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Watumishi wa TALGWU wafikishwa Mahakamani kwa ufujaji wa Tsh. Milioni 114.4

    Watumishi hao ni Jackson M. Ngalama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TALGWU SUPPORT LTD, Emmanuel G. Mdoe, Mhasibu Mkuu na Timothy P. Mashishanga, Dereva wa Kujitegemea wote wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu katika Mahakama ya Wilaya Ilala. Wote kwa pamoja wameshtakiwa kwa makosa ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

    Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye ameburuzwa mahakamani hadi leo. Mama anabakia kusema tu "stupid" lkn hayagusi haya majitu mazito kuliko...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA saidieni wananchi wa Nyatwali mahakamani kwa dhuluma wanayotendewa na Serikali

    Wananchi wa Kata ya Nyatwali wapatao 15,800 wanahamishwa na Serikali kupisha ongezeko la Hifadhi ya Serengeti bila sababu za msingi. Tayari makadirio ya fidia zao zimekwishakamilika bado tu malipo. Wananchi walitishwa kwa kuweka saini zao kwenye majedwali ya fidia na hawakuwa na namna...
  8. JamiiForums Tanzania Lindi: Watumishi wa AMCOS wafikishwa Mahakamani kwa Kughushi Saini na Kujipatia Tsh. 7,854,315

    Watumishi hao ni Said Akili Mtureni ambaye ni Karani wa Chama cha Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) Tawi la Naungo 'A' Nanjirinji na Afai Rajab Mbwani Karani chama hicho kutoka Tawi la Mawelenje, Nanjirinji wanaokabiliwa na Makosa 2 ya Wizi na Kughushi. Kosa la kwanza ni kuiba Ufuta...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

    Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
  12. JamiiForums Tanzania Mtwara: TAKUKURU yaomba Kibali kwa DDP kuwafikisha Mahakamani Wahasibu Watatu wa Mahakama

    Kibali kinachosubiriwa kutoka kwa Mwendesha Mashtaka (DPP), kinahusu Kesi yenye Tuhuma za Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 234 dhidi ya Watumishi wa Kada ya Uhasibu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara. Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa, Jumbe Makoba, amesema walipata taarifa za kuwepo kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

    Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai? Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini. Hapa naona...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023 ---- UPDATE---- Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
  15. JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  18. JamiiForums Tanzania Wafikishwa Mahakamani kwa kudukua Mfumo wa Kompyuta wa CRDB

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kuingilia mfumo wa kompyuta wa benki ya CRDB na kujipatia kiasi cha Sh Milioni 13.8. Washtakiwa hao ni Riziki Kanena (22) ambaye ni mkazi wa Mikocheni na Laulentina Yastaf Mkazi wa Akamea...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyemcharaza Mwanafunzi wa miaka 9 Viboko 107 afikishwa Mahakamani

    Jackson M. Marucha, Mwalimu kutoka Kaunti ya Nyamira Kenya, anatuhumiwa kumpa adhabu hiyo Mwanafunzi wa Darasa la 4 mwenye miaka 9 baada ya kuripoti kuibiwa nguo zake za Shule. Mwalimu alijaribu kuficha kitendo hicho kwa kumfungia Mwanafunzi Bwenini na kumnyima matibabu baada ya kugundua ana...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

    Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023. Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…