mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania ni kivuli cha tawi la Utawala

    Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi. Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Dar es Salaam Cement Co. Limited kulipa Fidia ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza kazi Mkurugenzi wake

    Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mkataba wa bandari Mbeya: Wakili aeleza sababu za kuchelewa kukata rufaa. Mahakama haijawapa mwenendo wa kesi na nyaraka zingine...

    ============================================== Kwa ufupi (quotes) "Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba nyaraka muhimu za kesi kwa ajili ya rufaa ikiwemo proceedings (mwenendo) wa kesi na viambata vyake"...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

    Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki. Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani...
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  11. JamiiForums Tanzania Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki Alhamisi, Agosti 24, 2023 Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  14. JamiiForums Tanzania Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  16. JamiiForums Tanzania Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania

    Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania Siku chache baada ya kukamatwa kwa Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Nyagali na Dk Wilbroad Slaa, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, ameonya mashirika ya kimataifa likiwemo Amnesty International, akiyataka kuacha kuingilia mambo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  18. JamiiForums Tanzania Mtwara: TAKUKURU yaomba Kibali kwa DDP kuwafikisha Mahakamani Wahasibu Watatu wa Mahakama

    Kibali kinachosubiriwa kutoka kwa Mwendesha Mashtaka (DPP), kinahusu Kesi yenye Tuhuma za Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 234 dhidi ya Watumishi wa Kada ya Uhasibu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara. Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa, Jumbe Makoba, amesema walipata taarifa za kuwepo kwa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama imeamua. Je, ndo bandari yetu imekwenda, unasemaje?

    Bila ushabiki. Kama ungeulizwa nini ushauri wako kwa mama kuhusiana mzozo wa bandari ambao mahakama kuu ilitolea uamuzi? Je, unashauri tuendelee hivi au tukate rufaa? Je, akili na nguvu vinavyotumika kuhakikisha hii kitu inafanikiwa zinaonyesha maanguko au mafanikio huko tuendako hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…