mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi ataka mahakama iwe ni sehemu ya kutoa haki ambapo hata mkulima akienda kulalamikia kuhusu Rais mahakama itende haki

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Binti aomba mahakama imruhusu kufa baada ya Baba yake kufungua shauri Mahakamani kupinga Mtoto wake kutaka kujiua kwa hiyari

    Binti mmoja wa Nchini Uhispania Noelia (23), amepanda kizimbani kutoa ushahidi Mahakamani ili kumshawishi Hakimu amruhusu kufariki kwa hiyari yake baada ya Baba yake Mzazi kufungua shauri Mahakamani la kupinga Mtoto wake kutaka kujiua kwa hiyari. Noelia atapanda kuzimbani kujitetea ambapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”

    Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachia kwa dhamana Wachungaji wa Kanisa la TAG wanaotuhumiwa uhujumu uchumi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma imewaachia kwa dhamana wachungaji wawili James Michael Komba na Beatus Aron Mwambuchi wa mchungaji kanisa la TAG lililipo Lizaboni Manispaa ya Songea wanaotuhumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Akisoma hukumu ya maamuzi ya maombi ya dhamana ya watuhumiwa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

    Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  8. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  10. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padri Rwegoshora kesi ya mauaji ya Asimwe imebainika hana tatizo la Akili, Mahakama kuruhusu Kesi kuendelea

    Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu, Padri Elipidius Alfred Rwegoshora, ambaye ni miongoni mwa watuhumiwa tisa aliyepelekwa Isanga mkoani Dodoma, ili achunguzwe akili yake kufutia ombi la...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuheshimu maamuzi ya Mahakama dhidi ya Executive Orders ambazo amepingwa na Democrats

    Wabunge wa Republican wamsihi Trump kuzingatia maamuzi ya mahakama za shirikisho Na Alexander Bolton | 12 Februari 2025 | Wabunge wa Senati kutoka chama cha Republican (GOP) wanamhimiza Rais Donald Trump kuzingatia maamuzi ya majaji wa shirikisho ambayo yamezuia amri zake za utekelezaji wa...
  13. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR

    12 February 2025 Arusha, Tanzania DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR https://m.youtube.com/watch?v=YAwhDzphA5A Februari 12, 2025: Usikilizaji wa Hadhara; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  15. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  16. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mahakama kabla ya hukumu

    Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wadau wa mahakama watakiwa kutenda haki ili kutokomeza rushwa

    Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria yaliofanyika katika viwanja ya mahakama mgeni rasmi wa maadhimisho...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rukwa: Serikali yatoa bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa mahakama za mwanzo

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo ambazo kukamilika kwake kutawawezesha wananchi kupata huduma za kimahakama kwa urahisi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania Sio Kimbilio la HAKI

    Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
Back
Top Bottom