mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni majukwaa ya maigizo

    Mambo vipi? Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni msiba! Mahakama imetekwa rasmi na Dola

    Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama. Majaji hawa walitengeneza...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu cha uhuru wa mahakama

    Samahani sana. Mwenye kitabu cha UHURU WA MAHAKAMA kilichoandikwa na Jaji mstaafu Samatta naomba anisaidie.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Khalil, Muongozaji mkuu wa maandamano ya #freepalestine anaelekea kupigwa teke la deportation baada ya mahakama kuidhinisha.

    Safi sana Trump, Sasa arudi nyumbani kwimba tumsaidie kuandamana tukiwa huku.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Serikali dumisheni nidhamu kwenye mahakama zetu; Kuna watuhumiwa wanaichezea sana serikali.

    Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache: 1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Bunge, Mahakama, utawala, dini, na wenye fedha wanapoungana jua tumekwisha

    Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano. Je nini kifanyike...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hungary imejitoa Mahakama Ya Kimataifa na wamekataa kumkabidhi Netanyahu ICC

    Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC. Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi. Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufaransa Inamushutumu Kiongozi wa Mrengo Mkali wa kulia Le Pen na Hatia ya Ubadhirifu

    Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016. Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027. Viongozi wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawezesha magereza 10, usikilizwaji wa mashauri kwa njia ya mtandao

    Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, kagueni mahakama za mwanzo, wananchi wanateseka sana

    Mheshimiwa Jaji Mkuu, Shikamoo Baba yangu. Habari za uzima. Naamini Mungu ametuwezesha kuamka salama ili tuweze kuwatumikia wananchi wetu. Baba yetu, Mzee wetu — leo nimeona nikujuze tu kuhusu yanayoendelea kwenye mahakama za mwanzo. Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mahakimu wa mahakama za mwanzo...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
Back
Top Bottom