and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,229
- 39,714
Pamoja na Kura za Mchongo za Wajumbe. Kamati Kuu ndio mwamuzi wa Mwisho. Na hakuna kitu mtafanya.
kamati kuu ya nini? maana kuna kamati kuu nyingi.........Bahati mbaya, Kamati Kuu ndio taasis yenye nguvu zaidi kwa Tanzania