mahaba

  1. Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je, ni namna gani ya kumtoa?

    Kuna rafiki yangu amekutwa au naweza kusema anasumbuliwa na jambo ambalo dalili zake zinaonyesha kua huenda akawa na jini mahaba ndani yake. Kwaio ameniombea kupitia jukwaa hili la ma great thinkers niweze kumuulizia jambo hili. Dalili zenyewe ambazo kwa maelezo yake ameziona ni kama zinaendana...
  2. Video: Mahaba Mahabati

    Ndoto ya kila Mwanamke ni kuwa na mshikaji kama huyu kwenye msimu huu wa Valentine
  3. A

    Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  4. Urafiki, mipaka na mahaba

    Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09. usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe, kuilazimisha roho itoke pasipo idhini ya Mola Mlezi. Watoto , ndugu , Jamaa na marafiki mpaka...
  5. AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  6. Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  7. Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  8. Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  9. Waziri Pindi Chana kwani ni lazima kila sehemu utakayoalikwa umtaje kwa Mahaba yote Rais Samia?

    Au labda alikuambia kuwa usipokuwa Unamtaja na Kujikomba Kwake basi atakutumbua upesi? Unaboa mno.....!! Nikiambiwa nimtaje Waziri wa Kwanza wa hovyo kwa sasa katika Serikali ya Rais Samia wala sitochelewa Kumtaja / Kukutaja Pindi Chana na sijui ilikuwaje ukawa Waziri kwani hutoshei na huna pia...
  10. Stori ya Air Manula na mahaba ya mashabiki

    Liked by realclatouschama and 22,638 others 28_manula Baada ya kufanya vipimo hospital ya Taifa MUHIMBILI-MLOGANZILA nilianza safari ya kurudi nyumbani kwetu KILOMBERO Nilifika morogoro mjini mishale ya saa kumi na moja na dakika kumi na nane hivi. Nilipata mapumziko kidogo kisha tukaendelea...
  11. B

    Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

    Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili. Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
  12. Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

    Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza. Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
  13. B

    Hivi hawa wasemaji wa vilabu hivi 2 pendwa ni mahaba au umbumbumbu wa kuongea.

    Niko nashuhudia hapa huyu msemaji wa Yanga akikabidhiwa pesa za mheshimiwa Rais km ahadi yake ya Kila goli, haya maneno anayoongea kuhusu wapinzani wao Simba siyo ya kizalendo. Yani Hana utofauti na yule mtangulizi wake aliyepigwa ban na TFF. Hivi hawa wasemaji wasipotoa maneno ya shobo huwa...
  14. W

    Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  15. Mahaba ya kweli yapo wanawake vibonge wanaweza

    Wasalaam JF, kila shetani na mbuyu wake, mahaba matamu na mapenzi matamu yapo. kipekee raha na utamu uliohuishwa na Barcelona ya Africa (Simba SC ya Tanzania) club ya kibabe kampa kampa tena. Asante sana Mwajabu jana umenifanya kama Horoya, mapenzi yaliumbiwa wanawake mabonge nimepikwa...
  16. Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

    Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu. Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile. Baada ya kufikia mshindo, atachukua...
  17. Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

    Huu si utapeli huu. Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali. Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke. Mwezi uliopita nilienda kumtembelea...
  18. Inakuchukua muda gani kusahau maumivu baada ya kuachwa na umpendae?

    Inakuchukua muda gani kusahau yale maumivu baada ya kuachwa na mtu umpendae?
  19. Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanaoπŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

    πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  20. Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…