magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Haki yangu kikatiba ya kushawishi/hamasisha wamuongezee muda Rais Magufuli

    1. Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na marekebisho yake ya 30th April 2000 yananipa haki zote kama raia halali wa Taifa la Tanzania kuwa na mawazo huru juu ya jambo lolote ambalo halivunji sheria za nchi yetu. Mimi kama Mtanzania tarehe 16 Februari 2020 nilianzisha uzi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
  3. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka. Baadaye kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Wateule wa Rais wanatetea nafasi zao au wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili na hawezi kukosea katika kila jambo?

    Nawasalimu katika jina la Muumba. Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika lazima atatoa kauli au amri ya kushinikiza jambo lifanyike kama alivyoshauri Rais bila hata ya kuchukua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watendaji wangu wananichelewesha. Naomba chama changu CCM kinisaidie kuwasukuma, tumechelewa!

    Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine. Rais Magufuli amewataka viongozi wa CCM wamsaidie kufuatilia utendaji wa watendaji wake kwani wengine wanachelewesha maendeleo. Rais Magufuli amesema yeye...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Morogoro. Amlaumu Mbunge Abood kwa kuua ajira Mjini Morogoro

    Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro. Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi. Rais Magufuli...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anarudisha uchifu? Kanisani na msikitini tumekuwa tukiambiwa hao ni wapagani

    Jana Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa soko kuu la kisasa la mkoa alipitisha na kulipa jina la soko hilo kuwa Chifu Kingalu Mwanabanzi. Huyu ni chifu wa kabila la Waluguru wa mkoa huo ambao sisi watoto na watu wa kanisa tumeambiwa kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dhiki Faraja... Tumvumilieni Rais Magufuli

    Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya maneno. Rais Magufuli ameiinua Tanzania katika uhalisia wa uongozi na ni namna gani kiongozi anatakiwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Rais Kenyatta na Professor Lumumba wafanya kikao

  10. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

    Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru. Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu. Hata hivyo akiichagiza ushauri huo...
  12. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Urais wa Dkt. John Pombe Magufuli kuendeleza Wilaya ya Chato unatufundisha nini?

    Unatufundisha mtu kwao, Kwa muziki huo Marais waliopita walishindwa kuendeleza makwao kiuchumi na hata kimiundo mbinu, Leo Chato imepaa, kuanzia Mwinyi hadi Kikwete kama wangekuwa kama huyu, tungelishakuwa na miji iliyonawiri kama mikoa mitatu na huu wa nne. Nawasihi viongozi mliobaki mfuate...
  14. JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania We are ruled by "iron hand", fear is rampant. Magufuli has defiled our nation

    Those who have been elected or appointed to occupy some offices in government or parliament tend to fake their smiles and give satirical praises to Magufuli. And some go beyond by speaking blasphemy to a point of exalting Magufuli above God. While all these are done so as to please him, but...
  16. JamiiForums Tanzania Magufuli hata akifia Ikulu hakuna kitu atafanikisha, kwani akina Mubarak au Mugabe walifanikiwa nini?

    Kama milioni 50 tu kwa kila kijiji zimemshinda, Hakika John Magufuli hana maajabu yoyote. SGR haiwezi na Stieglers Gorge HP hawezi kukamilisha. Akina Mubarak walikuwa na connections kila pande ya dunia, lakini hatima ya yote ni kuondolewa madarakani kwa nguvu ya Umma huku wakiziacha nchi zao...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kumpatia ajira Joshua Nassari

    Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari. Muda unakwenda kasi sana tangu kampeni zimalizike na wewe kuibuka na ushindi wa kishindo.Kijana wetu wetu ana mtoto ambae anahitaji matunzo ya kiwango cha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

    CCM ni chama dola. CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi. CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania. Dkt. Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla. Kwa mageuzi makubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kunusa uvamizi unaofanyika Ndachi Nkuhungu, Dodoma

    Jana Mh Rais akiwa eneo la Kizota ukifungua nyumba za askari wa Magereza ulitamka kuna eneo wananchi wanafukuzwa na mapanga. Ni kweli kabisa. Cha ajabu uongozi umekaa kimya na kuwapa wababe wenye silaha kuzidi kumega ardhi za wamama wajane na wakongwe waliostaafu. Ardhi kwa maelekezo hati zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…