magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Fair The Well-John Magufuli

    1 Fair Thee Well John Magufuli You who rose above the rest And went down bellow the rest You who stood above the rest And Slept bellow the Rest 2 Fair Thee Well John Magufuli You whose Glory never dimmed And Pride never Perished For you took Pride in Greatness And Yet Kept your Humility 3 Fair...
  2. JamiiForums Tanzania Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

    Waumini wa Rastafarian wamemfanyia ibada Rais Magufuli aliyefariki Machi 17, 20201 kwa matatizo ya moyo katika Hospitali ya Mzena. Waumini hao wamesema wanamchukulia Magufuli kama Nabii wao kwa kuwa hata namna yake ya kiutawala ni namna ya kiafrika ya kutawala ya kutanguliza utu na maslahi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli. Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

    Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama Mtanzania aliyezikwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Connect Dot: Nani anataka kumtisha Rais Samia na umaarufu wa Hayati Magufuli?

    Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo; 1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali ya Tanzania na ni fedheha mbele ya Wageni kushindwa kuwatambua wapinzani kwenye msiba wa Dkt. Magufuli

    Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi. Lakini hatukutarajia chuki hizo zifike hadi kwenye Msiba wa Rais wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

    Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini? Je, Taifa Lina mababa wawili? Je, Nyerere kawa babu wa Taifa? Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu? Naombeni tusaidiane majawabu
  10. JamiiForums Tanzania Baraka Magufuli atoa neno Chato kwenye tukio la kumuaga Hayati Rais Magufuli

    Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika. Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi. Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

    Wana Jf Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili ninamaanisha kuwa Kwa Yale mahubiri yake ya kutaka Africa tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua...
  14. JamiiForums Tanzania Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

    Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli baba wa Afrika?

    Dr John Joseph Pombe Magufuli hakuwa Shujaa wa Afrika. Kama alikuwa shujaa wa Afrika naomba kujibiwa maswali yafuatayo. Mosi; Rais Magufuli ametatua migogoro au kutatua matatizo ya Afrika kwa kiwango gani? Pili; Rais Magufuli amewahi kuhutubia mara ngapi Umoja wa Afrika kuhusu Afrika? Tatu...
  16. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  17. JamiiForums Tanzania Koffi Olomide amlilia hayati Rais Magufuli

    Msanii mkongwe wa muziki kutoka CONGO Koffi Olomide atuma salamu za pole Tanzania juu ya kifo cha hayati Rais John Pombe Magufuli #ripjpm
  18. JamiiForums Tanzania Sielewi Kigwangalla anataka kuonesha nini kati ya Tanzania ya Magufuli VS Tanzania ya Nyerere!

    Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere. Kigwangala Nanukuu Ameandika "Rais Magufuli alitamani kuona nchi inabaki...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

    Video hii hapa
  20. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…