magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Konki: Wanasiasa Wanamsifia Rais Samia na kumkashifu Hayati Magufuli, Hii ni kujipendekeza

    Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati John Magufuli ambalo Rais Samia Suluhu alikuwa Mgeni Rasmi...
  3. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Kuna mijitu ilikuwa na kesi za Uhujumu Uchumi, huruma ya Magufuli ikawataka warudishe walizoiba

    Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi wa Rais Magufuli. ''Wenyewe ni mashuhuda, kuna mijitu humu ilikuwa na kesi ya kuhujumu uchumi, kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  5. JamiiForums Tanzania Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

    Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika. Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa ni Viongozi waliotumbuliwa na hayati Magufuli kimakosa kwa sababu za kisiasa au chuki binafsi

    1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona. Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
  9. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli Bus Terminal - Dar es Salaam fire and frozen rents about the illusory project that will never perform

    THIS THREAD CAN BE WELL UNDERSTOOD IF THE ORIGINAL DOCUMENT ATTACHED HEREWITH CAN BE PERUSED. Before he died, President Magufuli stood upright in the crowd of the global prominent leaders as the welfare president of the 21st Century. As for the implementation of the Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

    Nawasalimu kwa JMT. Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona. Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi. Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa. Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki. Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira. Watumishi waliambia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  13. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa wafuasi wa Hayati Magufuli wamegawanyika makundi mawili

    Hakuna siri tena kwa sasa, kila kitu kiko wazi kwenye siasa za Tanzania, wafuasi wa Magufuli wamegawanyika kwenye makundi makubwa mawili. Kwa sasa kuna vita kubwa ya maneno, vijembe, kashfa, fitna, husuda, mivutano na hila za wazi wazi baina ya wafuasi wa Magufuli. Kuanzia mtaani, mitandaoni...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

    Wilaya ya Chato iliyopo mkoani Geita ni Tanzania. Kwahivyo, itakuwa furaha ya kila mzalendo wa Tanzania kuona maendeleo ya Chato kama itakavyokuwa kwa maendeleo ya sehemu nyingine ya Tanzania. Lakini maendeleo ni nini? Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alijitanabaisha kama mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

    Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa. Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru. Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na...
  16. JamiiForums Tanzania Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
  18. JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

    Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania. Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
  19. JamiiForums Tanzania Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…