Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu...
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana...
Mimi na umri wangu mrefu huu nimegundua kitu.
Kuna jamaa zangu walikua wanamlalamikia sana Mkapa wakati ni Rais, alipoingia Kikwete walifurahi mno.
Miezi 4 baada ya Kikwete kuapishwa wakaanza kumlalamikia tena. Ikawa hivyo mpaka alipo maliza awamu zake, tena awamu ya pili ndio hali zao zilikua...
Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli.
Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja.
Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga...
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika...
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa...
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani)
Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa...
MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni.
Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo.
Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.
Ipo tofauti nimeiona ndani ya miezi saba tangu JPM aage dunia na Rais Samia apewe nchi. Tofauti ya uwezo wa kusikiliza na kufanya maamuzi yenye mizania sahihi. JPM hakubarikiwa busara za utatuzi wa matatizo mengi ya kiutekelezaji japokuwa alikuwa na sifa ya utatuzi huo. Hayati JPM alipenda...
Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine.
Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
Licha ya kwamba stand hii haijakamilika vzuri mnajitahidi sana katika suala la usafi...Hii pia imechagizwa na kuwaondoa wale wamachinga ambao walishaanza kujenga vibanda ndani ya stand hii ya kimataifa. Usafi unaridhisha kuanzia vyooni hadi mazingira ya nje.
Kuna dustbin kila mahala na abiria...
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo...
Tutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye.
Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia?
Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo?
Unajua...
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na...
Wanabodi,
Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali.
Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu?
Naomba tuelimishane hapa pls
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263...
Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli.
Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo kinyume na utawala wa sheria na mbaya zaidi ujambazi, ni vigumu kueleweka kirahisi kwa nini haya...
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye...