magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

    Hbr za muda huu Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

    Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote...
  4. JamiiForums Tanzania Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
  5. JamiiForums Tanzania Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

    Ninajiuliza: • Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli? • Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru...
  6. JamiiForums Tanzania Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

    Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

    Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki. Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

    Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Mdada wa Umoja party; Kada wa umoja party Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

    Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM 😀😀😀😀
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

  13. S

    JamiiForums Tanzania Kila Rais angekopa kama Hayati Magufuli, leo hii tungekuwa tunakopesheka na Magufuli angekopa wapi?

    Taarifa tunazosima zinaonyesha ndani ya miaka mitano tu Magufuli amekopa karibu sawa na mikopo aliyochukua Kikwete kwa miaka yote Kumi aliyokuwa madarakani. Ukiacha Kikwete, kuna Mkapa, Mwinyi na Nyerere na hawa nao walikopa na kuna wakati walifanya juhudi tusamehewe madeni Sasa najiuliza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Namuombea msamaha hayati Magufuli kwa makosa aliyoyatenda

    Habari ndugu zangu Watanzania. Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika. Ukitaka kuangalia kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Kwema Wakuu! Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini. Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Canonization of Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    Can Roman Catholic Church initiate process of Beatification and Canonization of Dr. John Pombe Joseph Magufuli for he made High-most GOD (Monotheistic) bold in his governance, prioritizing worship and pro downtrodden. He wrestled down Covid by unique way of adoration that left the planet...
  17. JamiiForums Tanzania Upotoshaji: Magufuli alidai kuyamaliza kabisa maovu yote Tanzania

    Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini. Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
  20. JamiiForums Tanzania President Samia Hassan: It was tough working with Mr Magufuli at times

    Ms. Hassan, who is soft-spoken and comes across as reserved, said that as vice president, it was “tough” working with Mr. Magufuli at times, and that she argued with him on several issues, including his Covid denialism. She rebutted the idea that he had succumbed to Covid and said he had died of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…