Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.
Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/=...