magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo cha hayati Magufuli kilikuwa cha kujitakia?

    Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli. Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini ningeachana na siasa nikaishi...
  3. JamiiForums Tanzania Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu Hayati Magufuli

    Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli. Tuendelee kuwa wazalendo, Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu. Tuendelee kuenzi na kukumbuka falsafa za shujaa wetu huku daima tukiendelea kupinga Ufisadi, Rushwa, Uzembe...
  4. JamiiForums Tanzania Two years without John Pombe Magufuli: A Complicated Legacy

    His supporters see him as a bold leader who BUILT roads, bridges and power plants Critics see him as an authoritarian leader, who DESTROYED freedoms, rights, unity, patriotism and isolated Tanzania from the world John Pombe Magufuli was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until...
  5. JamiiForums Tanzania Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa Watanzania kumsamehe hayati Dkt. John Magufuli. Nini kifanyike?

    Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia. Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti na watanzania wengi wakionesha kushtushwa na kifo cha ghafla cha rais aliyekuwa madarakani...
  7. JamiiForums Tanzania Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

    Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wimbo huu wa kumuenzi Magufuli unapaswa kupewa TUZO

    Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
  11. JamiiForums Tanzania 17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

    Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume). Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli siyo dikteta, ni kiongozi Bora kuwahi kutokea Tanzania

    Habari za muda huu Wana JF Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani. Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

    Daah! Sasa nashindwa namna ya kuelezea jinsi isivyo kawaida kwa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu Tanzania hayati John Pombe Magufuli! Huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani? Ni miaka miwili sasa hatuna naye, lakini bado hajatoka mioyoni na midomoni mwetu, tena kila uchwao jina lake linakuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ukiwagusa wauza dawa za kulevya usitegemee watanipenda

    Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya 'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana tutakaokuwa tumewaokoa tangu tutangaze hii vita ni wengi watajibu siku moja kwa ajili ya faida ya Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka. Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani, kwanini Magufuli haachwi apumzike kwa amani?

    Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria? Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa)...
  18. JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa inatumika dhidi ya Hayati Magufuli au inatumika kumtetea Hayati Magufuli?

    Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia yetu kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kimahusiano ya kimataifa. Kumeibuka makundi mawili...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Mkapa na Magufuli nani anapaswa kufanyiwa kumbukizi?

    Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi Mwinyi akiwa Madarakani. Kati ya Marais walioingia madarakani baada ya Mwalimu Kung'atuka yaani Ally...
  20. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…