magufuli

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Daraja la jp magufuli (kigongo-busisi ) lafikia asilimia 96.3, kukamilika februari 2025

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua Ujenzi wa Daraja hilo leo tarehe 24 Januari 2025 mkoani Mwanza, Waziri Ulega amemshukuru na kumpongeza...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi) Lafikia Asilimia 96.3, Kukamilika Februari 2025.

    DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI ) LAFIKIA ASILIMIA 96.3, KUKAMILIKA FEBRUARI 2025. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu. Akikagua Ujenzi wa...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umefikia 96.3%

    Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lissu na Hayati Magufuli nani mzalendo wa kweli?

    Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima watoke? Magufuli alijua aina ya maisha ya watu wake na mbinu gani aitumie. Kwa muda ule, Lissu angekuwa...
  5. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ulishangilia kuondoka kwa Magufuli bila kujua kuwa ndiyo mti uliokuwa umeugemea

    Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa aliyefariki ndiyo alikuwa anasababisha mahindi yawepo, baada ya muda nyani nao walikufa njaa vibaya...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Magufuli hakuishi kumaliza ngwe yake inayomaliziwa na mzenj rais ajaye atoke bara

    Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bado nawaza akili za marehemu Magufuli. Yeye anazunguka Tanzania nzima kufanya siasa huku wapinzani akiwazuia na kusema wachape kazi wasifanye siasa

    Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili? Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola. Mtu mwenye akili timamu asingeweza kuishi maisha Yale ambayo waliishi ma fascist wa karne ya 15.
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuheshimu Watangulizi wetu; Tusiwe kama CCM wanavyomnanga Hayati Magufuli

    Uchaguzi Umeisha; ni wakati wa kumpa USHIRIKIANO Lissu. Tuweke tofauti zetu kando na tujenge chama chenye TIJA na Chenye UWEZO wa kushika Dola. Kwa mabadiliko haya, ipo siku Chadema inakwenda kushika DOLA, I swear. You may think i am crazy……. But i am not the only one. Kubwa zaid, Mbowe ni...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  12. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  13. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote

    "Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Mali waiga hatua za Magufuli VS Barrick

    https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

    Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

    Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya. Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi 2015/2016 mara tu baada ya Magufuli kuingia madarakani. Sasa wale vijana watekaji wapo bado pamoja...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

    Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu. Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo . Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
Back
Top Bottom