magufuli

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TBT: Cheche alizotema Hayati Magufuli Bungeni kwa watu walijenga kwenye eneo la hifadhi ya barabara

    Wakuu hee! Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja ukuta wa marehemu baba yake kwa sababu ya kuwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  4. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  5. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  6. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasira: Magufuli hakuwashughulikia wapinzani, walishughulikiana. Ukimtukana Rais na rais ana react, naye ni mtu

    Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara. "Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu. "Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

    Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa nguli Wabobezi wa Sheria Nchini Kenya Kalonzo Musyoka na Prof Kindiki Mlale Unono Chadema 😄
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mnajifunza Nini Katika Picha Hii ya Hayati Dkt Magufuli Akikumbatiana na Dkt Jakaya Kikwete kwa Tabasamu na muonekano wa macho ya hao wengine?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Madaraja, mabarabara ya lami si maendeleo. Magufuli hakufanya maendeo yoyote kwenye utawala wake

    Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo. Hivyo vitu ni lazima kuwepo. Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora. Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  16. FYATU

    JamiiForums Tanzania Tuulinde mchango wa Magufuli kwenye bwawa la Nyerere. Liitwe bwawa la Nyerere na Magufuli

    Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa. Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli. Na kwa kuwa yeye ndiye aliyependekeza jina la Nyerere basi nasi tuongeze...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Magufuli pekee ndio waliousaka Urais,wengine waliupata kibahati tu

    Nyerere alikuja mjini hata kiswahili hajui vizuri ila nyota ikamuangukia wazee wakamuamini wakampa nchi, Mwinyi aliambiwa achukue fomu kama geresha tu za kisiasa,baadae akaambiwa aondoe jina lake ili Salim aoewe nchi,akagoma,jina likapita kibahatibahati tu. Siku Mkapa anachukua fomu ya Urais...
  18. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa. ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee. sasa onyo langu na la wengi katika ulimwengu wa kiroho wa Mungu, wewe na wenzako, msithubutu kufanya...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Daraja la jp magufuli (kigongo-busisi ) lafikia asilimia 96.3, kukamilika februari 2025

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua Ujenzi wa Daraja hilo leo tarehe 24 Januari 2025 mkoani Mwanza, Waziri Ulega amemshukuru na kumpongeza...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi) Lafikia Asilimia 96.3, Kukamilika Februari 2025.

    DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI ) LAFIKIA ASILIMIA 96.3, KUKAMILIKA FEBRUARI 2025. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu. Akikagua Ujenzi wa...
Back
Top Bottom