Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke
Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo
1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji...
Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea.
Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;
1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake.
Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama.
Miaka hii minne yaliibuka...
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.
Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.
Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa
Kwa mtazamo...
Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda.
Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS.
Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano.
Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa),
**Kila nikikumbuka...
Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu.
Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya?
Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;
1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda...
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
"Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya"
"Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda"
https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
Habari wadau
Huu ni ukweli mchungu
1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha
2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
Habari wadau
Nazani wote tunaona Trump anachofanya.
Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli.
Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana.
Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.