magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

    Rais mstaafu mzee Mkapa amesoma salamu za rambirambi kutoka kwa Rais Magufuli katika msiba wa Mzee Moi. Mzee Mkapa amesema yeye binafsi amefanya kazi na Mzee Moi kwa miaka 7, akiwa na Rais na mzee Kikwete aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mkapa amesema Rais Magufuli amewatuma wao wawili kama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kuna watu wanadhani watakaoingia mbinguni ni wale wanaosali sana kumbe watenda kazi kama Rais Magufuli wataenda peponi!

    Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge. Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu. Mh...
  3. JamiiForums Tanzania Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

    INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio. Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
  5. JamiiForums Tanzania Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

    Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana. Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa. Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuongeza idadi ya maafisa wa JWTZ kwa kasi kubwa

    Zamani ukifika kambi ya jeshi maafisa we jeshi ni wakumulika kwa tochi. Kambi kubwa ina askari mia 5 lakini maafisa jumla yao utawapata 5 tu. Majukumu yaliyopaswa kufanywa na Meja yalikuwa yanafanywa na Kapteni au Luteni kutokana na kukosekana nguvu kazi. Lakini sasa hili tatizo linapotea...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

    Wanabodi, Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!. Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli Nimesema kwa upande wa wanyama pori...
  8. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli, usipoongeza mshahara 2020 ruhusu uhamisho

    Mheshimiwa Rais Magufuli wa Tanzania, wewe ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kwa kila kitu hapa Tanzania. Mara nyingi umekuwa ukiwasihi watumishi wavumilie kuhusu kuongezewa mishahara kama inavyopaswa kuwa kwani sasa hivi unajenga nchi, lakini mheshimiwa unapaswa ukumbuke kuwa maisha hayasimami...
  9. JamiiForums Tanzania SANOTEP: Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais Wachache Duniani wanaoheshimu na kuzilinda haki za binadamu kwa Vitendo

    Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba...
  10. JamiiForums Tanzania Naanza kumuona Magufuli katika taswira ya maridhiano na jicho la baba mlezi

    Labda sioni sawasawa Ila Naona rais Magufuli ameanza kuwa na muonekano wa kimaridhiano na baba mlezi asiependelea upande wowote ameanza kuwa msikivu na mjali haki tofauti na hapo nyuma. Kikwazo pekee ninachokiona kwa magufuli ni vijana wa Siro. Kwa maoni yangu nadhani Siro sio mtu mwema kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

    Hivi sababu hasa ni ipi? Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini? Au ni wivu tu? I mean jamaa anatoa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameguswa na nini hadi kuwakemea waendesha mashtaka kwa kuchelewesha upelelezi kwa watuhumiwa wanaoozea jela?

    Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Rais Magufuli anafanana sana kitabia na aliyekuwa Rais wa Kenya marehemu Daniel Arap Moi

    Mimi nikimuangalia Rais Magufuli kitabia naona ni kama Moi alizaliwa upya kuitawala Tanzania. Wanafanana sana kitabia na hizi ni baadhi ya tabia zao kwa jumla zinazofanana. 1. Wanapenda sana wasifiwe. Enzi za Moi zilitungwa nyimbo nyingi kumsifia kitu kinachoonekana kwa Rais Magufuli pia. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Ndugai na Magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya Taifa letu

    Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu. Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu. Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele. Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kusubiri kushindwa kwa Rais Magufuli au serikali ni Kamari mbaya sana. Serikali ya awamu ya tano ni itashinda kwa sababu…

    Tangu Zitto Kabwe ajitoe ufahamu wa kuandika barua WB ili mkopo kwa ajili ya elimu tulioomba tusipewe, baadhi ya watu wameanza kuujadili usaliti wa Zitto Kabwe kwa Taifa lake kama uzalendo na yeye kujiona kafanya kitendo cha kishujaa kwa watanzania maskini. Mashaka ya wengi ni kwa nini Zitto...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  17. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar | Rais Magufuli awaapisha Viongozi mbalimbali: Dkt. Abbas kuendelea kuwa Msemaji wa Serikali huku akiwa Katibu wa Wizara ya Habari

    Rais Magufuli anawaapisha leo hii Kamishna Jenerali wa Magereza, Kamishna Jenerali wa Zimamoto, Makatibu wakuu na Makatibu tawala wa mikoa saa 3:30 asubuhi. A. MAKATIBU WAKUU 1. MARY GASPER MAKONDO - kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi...
  20. JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

    Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…