magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

    Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli bila kuleta Mageuzi ya Uchumi wa watu, Nchi utaiacha ikiwo hoi sana kiuchumi

    Wafanyakazi waongezwe mishahara ili kuongeza parchasing power, Wakulima wapewe ruzuku kwenye dhana za kilimo mbolea, matrekita, wajasiliamali wanahitaji sera bora za upatikanaji wa mitaji na bima za kiserikali za kulinda mitaji yao, Wafanyabiashara wanahitaji upatikanaji wa mitaji na sera bora...
  3. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

    Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda. Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana. Tunaamka asubuhi hatujui kama tutakula au vipi. Tukifungua biashara zinakufa, kila tunachojaribu...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii. Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi juu ya 'kuicheka picha ya Rais John Pombe Magufuli'. Kwa mujibu wa wakili Benedict Ishabakaki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

    Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai unakosea, Mbowe ana haki ya kuelezea mawazo yake na chama chake, anaowakilisha ni watanzania

    Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili) Ni jambo la kushangaza kuona...
  9. JamiiForums Tanzania Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  10. JamiiForums Tanzania Tuna imani na rais wetu Magufuli

    Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia. Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

    Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
  13. JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai amezidi kumsemea Magufuli, unaweza kudhani yeye ndiye msemaji na mteteaji wa Rais Magufuli!

    Hii tabia ya Ndugai kumsemea Magufuli kwa watu anaokuwa na bifu nao inakera sana. Mtu yeyote mwenye akili anaelewa wazi hii ni saikoloji Ndugai anatumia kuchochea moto kati ya Magufuli na watu ambao Ndugai ana tatizo nao, hasa baada ya kumjua Magufuli ana silka ya namna gani. Ndugai...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli Mei 17, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Hapo jana huko Chatto mheshimiwa akitujia mubashara tokea kanisani, mbona ametuachia mengi fikirishi? Yeye mwenyewe aliurejea ule usemi maarufu wa mzee wa msoga kuwa, "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako." Tokea Chatto...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

    Things JPM said and Kenyan media rediculate him only to be proven right by WHO
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…