CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda.

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?

Why kumjibu mtu kama Makonda?

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?

After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?
 
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda..

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?..

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?..

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?..

Why kumjibu mtu kama Makonda?..

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?..

Sikio la kufa halisikii dawa. Baada ya ulipo tulip, I thought wamejifunza
 
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda..

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?..

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?..

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?..

Why kumjibu mtu kama Makonda?..

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?..
After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?
Chadema inabidi wafikiri beyond horizon. Ilivyo ni kwamba serikali sasa hivi inatumia dola na fedha kuwafanya wapinzani wakate tamaa. Inachotakiwa kufanya Chadema ni kutumia mbinu za kijasusi. Iwaruhusu wabunge na mashabiki wake kuimba mapambio ya kumsifia Mr Zero IQ na kujiunga na harakati zake. Baadae wamlie timing na ku-pull triger wakati muafaka utakafika.
 
Mimi hata wanipe mabilioni kamwe siwezi kuisifia ccm
Chadema inabidi wafikiri beyond horizon. Ilivyo ni kwamba serikali sasa hivi inatumia dola na fedha kuwafanya wapinzani wakate tamaa. Inachotakiwa kufanya Chadema ni kutumia mbinu za kijasusi. Iwaruhusu wabunge na mashabiki wake kuimba mapambio ya kumsifia Mr Zero IQ na kujiunga na harakati zake. Baadae wamlie timing na ku-pull triger wakati muafaka utakafika.

In God we Trust
 
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda..

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?..

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?..

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?..

Why kumjibu mtu kama Makonda?..

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?..
After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?
Kada Mbowe anajua analofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom