magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli ni jibu la sala na maombi ya watanzania?

    Ikiwa unamwamini MUNGU utapaswa pia umwamini katika maombi unayoyafanya, Ninakumbuka kwamba kipindi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watanzania tulimwomba MUNGU sana kwa habari ya uchaguzi wa rais na kwamba tulikuwa tukimwomba MUNGU atupe rais ambaye atatufaa watanzania na ambaye angetuvusha na...
  2. JamiiForums Tanzania Nani alikudanganya kuwa CCM na Polisi Tanzania hawana Vinasaba vya Undugu, Mshikamano na Ushirikiano?

    ULINZI WAIMARISHWA DODOMA: Dodoma: 07 Julai, 2020 Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama. Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano Mkuu kura zote kwa Magufuli kuelekea nchi ya Maziwa na Asalia

    Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli. Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

    The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

    Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu. Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki. Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya leo ya Mh Rais Magufuli kuna mawimbi yanarindima isikilize kwa makini tone yake!!

    Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi! Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao. Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
  8. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

    Wasalamu wana Jukwaa! Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa wengine wanamtukana Magufuli?

    Kweli mtu umaarufu pekee ulionao ni kuhusishwa na biashara ya madawa, na unaenda kugombea Jimbo hata hawakujui?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  11. JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Kama akishinda tena, Rais Magufuli atategemea wateule wake 10 kuunda Baraza la Mawaziri la kueleweka

    CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini. Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

    Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama. Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika tamasha la Muziki wa Shukrani Kawe jijini Dsm

    Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm. Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

    Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri. Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wapya watano

    Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

    Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…