Uchaguzi 2020 Nitamchagua Magufuli tena kwani ametujengea uthubutu

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania.

Fanikio hilo muhimu ni ari ya kipekee aliyotujengea Mheshimiwa Rais.
yaani sisi sio wanyonge na kamwe hatutakiwi kuwa wanyonge.

Mh.Rais katika kipindi chake ametuonesha kuwa Watanzania tunao uwezo mkubwa na tunapaswa kiutumia kuijenga Tanzania.

Tunao uwezo
1-kutumia akili zetu ipasavyo

2-Tuna uwezo wa kudhibiti rushwa

3-Tuna uwezo wa ujasilia mali

4-Tuna uwezo wa kuanzisha biashara na kishindana kibiashara

5-Tuna uwezo kuanzisha biashara

6-Tuna uwezo wa kubuni na kusimamia miradi

7-Tuna uwezo wa kufanya kazi au biashara masaa 24

8-Tuna uwezo wa kuilinda nchi dhidi ya mabeberu

9-Tuna uwezo wa kukabiliana na majanga.

10-Tuna uwezo wa kujadiliana na dunia.

HEBU ENDELEA KUWEKA UWEZO WA WATANZANIA KAMA STATE...
 
1593035730742.png

1593035757334.png

1593035795462.png

1593035822215.png

Hapa Kazi tu!
 
Jk aliacha deni lipo 49t.
Kwa kukopa tu yupo vizuri ila hajui kutengeneza vyanzo vya mapato.
deni%2Bpuic.jpg
 
iyo # 8 imenichekesha sana, una uwezo gani wa kupambana na nchi zilizo endelea ama hii kupiga kelele beberu beberu ndo kupambana
 
Ametunyima haki ya kuchagua viongozi tunaowapenda. Kwa kauli yake mwenyewe ameagiza wakurugenzi wa wilaya wasimtangaze mpinzani akishinda.
 
na bora wasitangazwe tu maaana cdm ni kichefu chefu, tuliwaamini lakini wameharibu wenyewe
 
Sasa nyinyi Mataga ya Lumumba mtamchagua nani zaidi ya huyo mungu wenu!! Acheni kutuchosha. Maana hamna jipya.
 
Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania.

Fanikio hilo muhimu ni ari ya kipekee aliyotujengea Mheshimiwa Rais.
yaani sisi sio wanyonge na kamwe hatutakiwi kuwa wanyonge.

Mh.Rais katika kipindi chake ametuonesha kuwa Watanzania tunao uwezo mkubwa na tunapaswa kiutumia kuijenga Tanzania.

Tunao uwezo
1-kutumia akili zetu ipasavyo

2-Tuna uwezo wa kudhibiti rushwa

3-Tuna uwezo wa ujasilia mali

4-Tuna uwezo wa kuanzisha biashara na kishindana kibiashara

5-Tuna uwezo kuanzisha biashara

6-Tuna uwezo wa kubuni na kusimamia miradi

7-Tuna uwezo wa kufanya kazi au biashara masaa 24

8-Tuna uwezo wa kuilinda nchi dhidi ya mabeberu

9-Tuna uwezo wa kukabiliana na majanga.

10-Tuna uwezo wa kujadiliana na dunia.

HEBU ENDELEA KUWEKA UWEZO WA WATANZANIA KAMA STATE...
Uthubutu wa kutesa watu na kuua upinzani.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom