Uchaguzi 2020 Natangaza rasmi kumpigia kampeni yeyote atakayesimama dhidi ya Magufuli kwenye Kinyang'anyiro cha Urais 2020 akawa serious

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,004
2,000
britanicca,

Mbona mgombea umemwacha? au hujui ni Lazaro Nyalandu? na ameshaeleza mambo atakayofanya ndani ya siku 100 za kwanza
(0) Watanzania kwanza - Kila Mtanzania awe na furaha katika nchi yake
(1) Maridhiano ya Kitaifa
(2) Kukamilisha Mchakato wa Katiba ya Wananchi
(3) Kurekebisha sheria zinazozuia dhamana.
britanicca naomba uweke vipaumbele vya hao uliowaorodhesha tupime?
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,150

Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,004
2,000
Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Inategemea huyo wa upinzani atakuwa na sera gani mbadala dhidi ya za Mh. Magufuli. Mpaka sasa aliyetamka kitu ni mmoja tuu
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
1,500
2,000
Kwenye kichwa cha habari unatangaza "kumuunga mkono yeyote wa upinzani" halafu kwenye main body "bado unawapima"..!!
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,100
2,000
Bado hawajawa wagombea bado tunasubiri wapitishwe, lakin hakuna mtu mwenye akili timamu atampigia magufuli kura
Wewe akili zako ulizipima wapi na lini ukajua kama ziko timamu?

Kama ulitumia akili hizo kumpigia kura mwaka 2015, hukujua kama akili zako haziko timamu?

Dawa gani umepata kwa sasa ambayo imefanya akili zako kwa kuwa timamu!

Tanzania kuna vituko!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,475
2,000
Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa kimya
Britannica
Ushauri wa bure, wakikosa sera safi, usikae kimya, washauri the best way forward na wewe unga mkono juhudi.
2025 tunaweza kui introduce private airports hivyo ile ya Chato tukampa Katto, kisha tukamuomba rais Magufuli ajenge ule uwanja wa ndege wa Omukanjuguti.
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom