Ni wazi uchaguzi umeshavurugwa, hili halina shaka kitakachojiri anakijua Mwenyezi Mungu. Tunavyoona na inavyoonekana CCM inachuchukua ushindi kwa kuengua wagombea ikiwa ni zoezi la mwanzo, zoezi la pili ni kuengua wapiga kura, zoezi la tatu ni kubadili matokeo ya kura ikifuatiwa na zoezi la...