magufuli

  1. Komeo Lachuma

    Tuna mchukia Magufuli lakini tusifikie hatua ya kuwa na upofu. Kwa hili ni mfano bora

    Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania. Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao. Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA...
  2. funaku

    Je Jesca Magufuli ni nani?

    Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini. Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini. Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake. Yapo tuliyozusha au kuyasema bila...
  3. K

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
  4. mdukuzi

    Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

    Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli...
  5. F

    Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  6. Megalodon

    Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  7. Allen Kilewella

    Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
  8. Knock life

    Nchi imefika sehemu mbaya sana , ikiwa Jesca Magufuli atapewa ubunge basi hii nchi imeshakuwa ya familia

    CCM kuweni makini msirudie makosa tena. Hawa watoto wa viongozi hawawezi Kufanya Kazi nyingine . Au waliambiwa wao ndio wanastahili kuongoza hii nchi . Gharama alizompa Millardayo kwanini asingesaidia kununua hata madawati We are not serious.
  9. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  10. Camilo Cienfuegos

    Kitendo cha Rais Magufuli kununua ng’ombe 30 na kuanza kuwafuga Ikulu ni kielelezo tosha asingeachia madaraka

    Nasikiliza interview ya Jesca Magufuli binti wa Rais Magufuli. Anasema baba yake alipoona Ikulu ya Chamwino ina eneo kubwa akaamua kununua na ng’ombe 30 na kuanza kuwafuga humo Ikulu. Pia alinunua na kuanza kufuga kuku pia. Huyu mtu hakuwa na nia ya kuachia madaraka, kama alianza na ng’ombe...
  11. TheMaster

    Rais Samia amebeba jukumu la kusomesha familia ya Hayati Magufuli

    Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu...
  12. Area 56

    PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

    Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli. Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli. Kesi za jinai kwa wapinzania...
  13. Carlos The Jackal

    Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu. Mabadiliko ni Lazima

    Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu , Mabadiliko ni Lazima. Nikawauliza, Mnauhakika huyo mnayemsimamia, atawaondoa kwenye matumizi ya Nguvu?. Sasa mapemaaa tayari Mmevunja watu , Mmeua . Haya yote yanawaunganisha Watanzania .
  14. DR HAYA LAND

    PreGE2025 Cheyo alipokuwa anamuomba Magufuli Mbunge mmoja alikuwa anamaanisha nini?

    Siasa za Tanzania ngumu kuzielewa. Mzee Cheyo Eti Anamuomba Magufuli Mbunge mmoja wa jimbo atakayesaidia kutetea wakulima wa kahawa. 😋
  15. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  16. C

    CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  17. K

    Rais Samia tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki

    Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za...
  18. M

    Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena. Sasa mtu...
  19. funaku

    Ishara: Waliomhujumu Magufuli na Samia wameanza tena kumsumbua Samia. Tusikubali

    Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema. Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile. Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa...
  20. M

    Waliopinga miradi ya Magufuli sasa wanajisikiaje?

    Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo 1. Mradi wa SGR Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa. Sasa mradi wa SGR...
Back
Top Bottom