magufuli

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

    Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Najua ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~ Hayati Magufuli

    Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii. Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!! Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania John Pombe Joseph Magufuli: A measuring stick to the past, present and future Leaders of Tanzania

    Kila Rais atakayekuja kuongoza nchi hii atakutana na changamoto kubwa sana.atapimwa kwa kiwango cha juu je, ana uwezo wa kuvaa viatu vya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli? Mambo aliyoyafanya wakati wa uongozi wake ni vigumu mno kusahaulika au kufutika katika fikra na mioyo ya Watanzania. Alikuwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka Mkurugenzi wa CRDB Bank aliposema wamefungua tawi Chato kwa kuwa utafiti umefanywa na Rais Magufuli?

    Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi. SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
  5. R

    JamiiForums Tanzania CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  6. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alikuwa Mwanamkakati wa Lowassa na Magufuli

    Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu. Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k Tusimchukulie poa poa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alimuita Gwajima mara 3, lakini leo anabezwa na vitoto vya UVCCM

    Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako. Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amechukua negative za Kikwete na Negative za Magufuli akaziweka pamoja na ndiyo mpango wake wa utekelezaji

    Negative za Kikwete ni kwenye kuruhusu ufisadi wa wazi wazi. Kwenye demokrasia alikuwa na uafadhali. Huyu mama Samia akaamua kubeba hilo la kuruhusu ufisadi wa wazi wazi akaamua kwenda nalo na kuacha hilo la demokrasia. Hilo ameona siyo kipaumbele chake. Hayati Magufuli yeye hakuruhusu ufisadi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi), Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu. Hayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya Magufuli apendwe mwanzoni wa utawala wake ni kupambana na utendaji mbovu wa serikali, na kilichomdidimiza ni kupambana na vyama upinzani

    Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika... Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo hawezi kurudi, hypothetically, kama Magufuli angefufuka, angefurahi au kununa hata kumtumbua mtu?

    Japo CCM wanajiridhisha kuwa wanamuenzi marehemu rais John Magufuli, kwa kumdhihaki kwa kauli mbiu yao ya kazi iendelee wakati hakuna kazi yoyote bali upigaji na uvivu, ukweli ni kwamba wamemuangusha vibaya sana. Japo alishiriki kutengeneza watu waliomuangusha, kwa tulivyomjua, kama angefufuka...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

    Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue. Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa wataweka record ya dunia kuwa vichaa wa kwanza kufanikiwa duniani katika mipango yao. Tuendelee kusubiri.
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

    "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

    Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega. Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Awamu ya Samia Vyombo vya Dola vina Nguvu Jeuri, na Uhakika wa kufanya wanavyotaka kuliko awamu ya Magufuli

    Ni mtazamo wangu, na sababu kuu ni kwamba wanawaweza kufanya lolote bila uoga wa kufokewa, kutumbuliwa, wala karipio. Awamu hii unaweza kuambiwa utaona , tutaona na ikatimia kweli, nawapa tahadhari kama huna faida na jambo lenye ukakasi omba yaishe endelea na maisha yako. Kupeana tahadhari ni...
Back
Top Bottom